Hivoo,ladha yake je?Aiseeee we kama unapenda ndizi, chukua tikiti maji changanya na ndizi, parachichi na embe, dah!! Nilitengeneza kitu hicho, ni noma, nzitooooo balaaa, haiitaji sukar wala nini
Ni noma sana, tamu sana, nilitengeneza juzi yaan unaweza acha kulaHivoo,ladha yake je?
Naona km tikiti lipo offside hivi
Jaribu tikiti(water Mellon) mtindi, vanilla na sukar kdogo, usiweke maji! Afu uje uniambie
Kajaribu utanjulisha baada ya hapoDuh! Mtindi tena na sukari mazee
Hahahahaha we ni nomaWill power mi sina. Naweza kupiga hiyo smoothie likikombe lizima halafu baada ya hapo ugali pia naucharaza bila wasiwasi. Hovyo kabisa!
Ni kweli mkuu. Yaani naweza kukata likikombe lizima la smoothie na nikajisikia kushiba kabisa lakini nikiona ugali na dagaa wa Kigoma na bamia chukuchuku pembeni nao nautwanga tu bila wasiwasi. Haya mambo nimegundua yanataka will power na kujinyima sana vingine utakunywa smoothie mpaka uchoke na kilo nazo zinazidi kungezeka tu.Hahahahaha we ni noma
Kuna aina nyingi....
Google recipes tofauti tofauti utengeneze
Naomba maelezo kidogo kuhusu hiyo ya tende, maziwa na karanga. Nimewahi kunywa somewhere daah ilikua tamu sana. Anyone please?Mi napenda ya tende na maziwa. Unaweka na ndizi kdg na karanga na habbat sauda.
Au parachichi na maziwa na na sukari. Unaweka na arki ya strawberry au vimto.
Maa Salam kwa sasa
Tips kidogo kuhusu tende + karanga + maziwa.Maziwa fresh 1/2+parachichi1
Maziwa1/2 +parachichi1+embe1
Maziwa1/2 +tikiti maji robo
Maziwa 1/2+ndizi 5
Maziwa 1/2+ ndizi 3+papai1/2
Maziwa 1/2+tende+parachichi
Waweza weka na abatsoda/uwatu ukipenda
Unaweza kunywa bila Sukari japo ukishindwa pia waweza kuweka
NB:Ukitumia asali Asali ni bora zaid kuliko sukari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua tende 10 zitoe mbeguTips kidogo kuhusu tende + karanga + maziwa.
Tende ile ilorojeka ndio nzuri kiasi kama robo kdg. Maziwa kiasi kama lita moja. Ndizi mbivu moja (pupusa). Karanga kama one handful. Unaweza kununua zile karanga za Mia tano. Na habasoda kdg kwa ajili ya harufu kama vipunje Kumi tu.Naomba maelezo kidogo kuhusu hiyo ya tende, maziwa na karanga. Nimewahi kunywa somewhere daah ilikua tamu sana. Anyone please?