SMS na majibu yanayokera!!!

i just received this: kwa wenye kutaka shule;

Never wait until its too late to tell someone how much u love, how much u care. because when they are gone, no matter how loud u shout or cry, they wont hear u anymore. For that matter, baby i love u so much. I miss u like the desert misses the rain..........


hapo vipi????? hata kama t-shirt inabana ahhahhahahahahhahaa
 
Jamani kama upo kazini si unajibu short and clear kwani kuna ubaya hapo je angekuchunia?

Kaka Fidel usije ukaja Jamvini unalalamika oo shemeji yenu anamegwa na msela mwingine, hivi vitu vidogo ndiyo huwa vinaimarisha mahusiano, kwani ukimjibu vizuri unapoteza nini.

Shauri yako usipomjibu vizuri halafu ikatokea Njemba ikawa inampa Humbly Answers usilalamike tu kwamba mbona siku hizi huni txt mpenzi

Ukisusa wenzio wala
 
Mama NyU Kokote Uliko, I LOVE YUUUUUUUUUUUU
 
Haaaaaaaaaaa....! Yaani leo nimecheka mpaka mwisho....!


hapoooooooooo umeweza kabisa...wewe unayetuma majibu ya 'nipo' utapigwa chini hata msg hupati..nikipata mwingine wa kuniliwaza ndiye namtumia hizo msg.kwani wewe si tutaonana jioni shida iko wapi???
 


BJ, kwa maoni yangu hapa kuna kutoelewana kwa namna fulani. Si ajabu katika mawasiliano yao ya mwisho hawa wapendanao hali haikuwa shwari kama inavyotakiwa au kuna kitu kingine zaidi ambacho kinamkwaza huyo Njemba. Si vibaya kuuliza mbona unanijibu kimkatomkato? Aulizaye ataka kujua ati! na labda jamaa anaweza kusema sababu ya majibu hayo ya kumtolea nje kipenzi chake hasa kama hana kawaida ya kujibu hivyo.
 

Pata picha wewe umenuna kweli kwa majibu hayo kumbe mwenzio hana habari mana mgombea mwenza ameshika usukani..ha ha
Hiyo kupoteza mud ni kweli kabisa, mana siku inaharibika na ugomvi juu!agrrrr
 
kuna wasichana wengine ni maumivu!THEY WILL NEVER REPLY U R TEXT.ukimuuliza atakujibu ''....kawaida sinaga ushirikiano na simu yangu...''!

Lol!nilirudisha vikosi mapema sana na kuchange plan!
 
Jamani kama upo kazini si unajibu short and clear kwani kuna ubaya hapo je angekuchunia?

Hapo napo mtego lakini siyo kuwa ukiwa buzy huguswi..You can KISS ila siyo hivi mazee..
 

Si unajua kudeka tumezoea basi na sisi tuwe treated kama watoto siyo nyie tu jamani..Nipe nikupe, nichombeze nikuchombeze..
Abiria chunga mzigo wako, akitokea mtu na maneno matamu kweli hata kama halipi mtu anachanganyikiwa..ha ha
 

BAK, majibu kama hayo yanaonyesha watu wana magomvi au wamenuniana. Ila mkiwa kwenye mud nzuri na shwari tu kimapenzi lazima ushangae mwenzangu nini kimemkuta ananipa short answers..pia ni bora kuuliza, mwingine anakuambia nipo okay tu hapo unachoka mana umezoea long and entertaining sms mkiwa na mood fresh..



kuna wasichana wengine ni maumivu!THEY WILL NEVER REPLY U R TEXT.ukimuuliza atakujibu ''....kawaida sinaga ushirikiano na simu yangu...''!

Lol!nilirudisha vikosi mapema sana na kuchange plan!

Ha ha, kumbe sometimes mnachuniwa jamani!..haipendezi hivyo ila si unamwambia baby sipendi ukimya wako anaweza kujirekebisha..usikate tamaa!
 

ukiona mtu anakujibu hivi hataki kuwasiliana na wewe, hata mimi kama sitaki kuwasiliana na na mtu namjibu short hadi mwenyewe anaacha
 

...muda wa ku sms namna hiyo mnautoa wapi?
 

...Ukiona sms zimekuwa 'tamu tamu', ujue unapimwa joto... si ajabu sms itayofuatia itakuwa, "sasa mpenzi vipi ile hela uliyoniahidi siku ile?"

kama si hivyo, ujue kuna 'uovu' kafanya, anauficha kwenye kivuli cha '...sili silali nakuwaza wewe!'
 
...Ukiona sms zimekuwa 'tamu tamu', ujue unapimwa joto... si ajabu sms itayofuatia itakuwa, "sasa mpenzi vipi ile hela uliyoniahidi siku ile?"

kama si hivyo, ujue kuna 'uovu' kafanya, anauficha kwenye kivuli cha '...sili silali nakuwaza wewe!'


Hahah Mkuu Mbu apo kweli kabisa wengine wanaanzaga na gia kama izo, sasa inabidi ushtuke mapema tu manake ukizubaa kidogo unapigwa bonge la mzinga na kuchomoa huwezi......ikitokea umepigwa bao mfano credit ya simu ujue ndo mwisho wa hizo sms za malavidavi hutyamsikia tena hadi credit isshe..daamnπŸ˜€
 
...muda wa ku sms namna hiyo mnautoa wapi?

mmnh my dear kwani ni mtihani,hapo hata nusu dakika haiishi.ushamridhisha wifi anachapa bonge la smile.then kila mtu siku inakwenda shwari kabisa.
 
There is (or should be anyway) a difference between a telegram, an sms, a tweet and an email.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…