SMS na majibu yanayokera!!!

SMS na majibu yanayokera!!!

hapoooooooooo umeweza kabisa...wewe unayetuma majibu ya 'nipo' utapigwa chini hata msg hupati..nikipata mwingine wa kuniliwaza ndiye namtumia hizo msg.kwani wewe si tutaonana jioni shida iko wapi???

Kama msela ndo kakufanyia haya hakuna mtu hapa.Jaribu kuni Pm nikupe vitu vyenye adabu na hauta jutaaa! Kuifahamu JF!
 
Sms: Sweet, nimekukumbuka sana leo, natamani tungekuwa sote mida hii. Upo wapi mpenzi?

Jibu: OOOh baby nimekumiss pia sana tangu jana 😉, leo sili nikashiba kwa kukuwaza wewe sabuni yangu ya roho..how i wish tungekuwa pamoja pia.nko ofisini etc ....love u bunny!

Sms: Yaani nimekutafuta kweli mpenzi, mbona ulikuwa hupatikani? Mwenzio sijalala nakufikiria wewe my love. Umenimiss?

Jibu: OOh pole mami, simu yangu nilisahau kuichagi sasa ikaisha moto. i will make it up to you! kisses! mwah!

Sms: Baby leo nakula chakula kitamu kweli. Sijui wewe unakula nini. Natamani tungekuwa wote. Karibu mpenzi

Jibu: ahsante mami, najua ulivyo stadi wa hiyo dpt, i miss your cuisine, najilia mchemsho tu hapa.......enjoy my dear!

Sms: Honey, yaani ile perfume uliniletea inanukia vizuri ajabu. Yaani hapa nipo nasikia harufu yake na kukuwaza wewe, tena nakumbuka leo umetoka fresh na ile tshirt nilikununulia. Ukisoma hii sms wewe unapata hisia gani?

Jibu: switi karibu, am glad unaipenda hiyo perfume, my gal has got to smell sweet... t-shirt bomba kila mtu anaulizia basi naringa kusema imetoka kwa my heartthrob! ahsante sana mami.

Haya habari ndo hiyo!!!😀

shishi...mhh, hayo majibu ni wizi mtupu!!!
 
Sms: Sweet, nimekukumbuka sana leo, natamani tungekuwa sote mida hii. Upo wapi mpenzi?
Jibu: Nipo

Sms: Yaani nimekutafuta kweli mpenzi, mbona ulikuwa hupatikani? Mwenzio sijalala nakufikiria wewe my love. Umenimiss?
Jibu: Simu iliisha charge

Sms: Baby leo nakula chakula kitamu kweli. Sijui wewe unakula nini. Natamani tungekuwa wote. Karibu mpenzi
Jibu: Thank you

Sms: Honey, yaani ile perfume uliniletea inanukia vizuri ajabu. Yaani hapa nipo nasikia harufu yake na kukuwaza wewe, tena nakumbuka leo umetoka fresh na ile tshirt nilikununulia. Ukisoma hii sms wewe unapata hisia gani?
Jibu: Tshirt inanibana

umedesa laiv
 
Kusema uongo ni kosa.....then kama t-shirt inabana unampa live (joke) 😎.
 
tshirt imenibana duuuh hii imenichekesha sanaaaa
 
Sms: Sweet, nimekukumbuka sana leo, natamani tungekuwa sote mida hii. Upo wapi mpenzi?
Jibu: Nipo

Sms: Yaani nimekutafuta kweli mpenzi, mbona ulikuwa hupatikani? Mwenzio sijalala nakufikiria wewe my love. Umenimiss?
Jibu: Simu iliisha charge

Sms: Baby leo nakula chakula kitamu kweli. Sijui wewe unakula nini. Natamani tungekuwa wote. Karibu mpenzi
Jibu: Thank you

Sms: Honey, yaani ile perfume uliniletea inanukia vizuri ajabu. Yaani hapa nipo nasikia harufu yake na kukuwaza wewe, tena nakumbuka leo umetoka fresh na ile tshirt nilikununulia. Ukisoma hii sms wewe unapata hisia gani?
Jibu: Tshirt inanibana

ahaaaaaaaaaaaaa yaani unijibu hivyo nakutosa! mmm ati t-shirt inanibana!

Shishi,

Your signature is the best explanation of such cases.Take it easy mamii unless ndio majibu hayo hayo tuuuuu kila leo!
 
Back
Top Bottom