Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
huyo sio shori.....
hapoooooooooo umeweza kabisa...wewe unayetuma majibu ya 'nipo' utapigwa chini hata msg hupati..nikipata mwingine wa kuniliwaza ndiye namtumia hizo msg.kwani wewe si tutaonana jioni shida iko wapi???
Sms: Sweet, nimekukumbuka sana leo, natamani tungekuwa sote mida hii. Upo wapi mpenzi?
Jibu: OOOh baby nimekumiss pia sana tangu jana π, leo sili nikashiba kwa kukuwaza wewe sabuni yangu ya roho..how i wish tungekuwa pamoja pia.nko ofisini etc ....love u bunny!
Sms: Yaani nimekutafuta kweli mpenzi, mbona ulikuwa hupatikani? Mwenzio sijalala nakufikiria wewe my love. Umenimiss?
Jibu: OOh pole mami, simu yangu nilisahau kuichagi sasa ikaisha moto. i will make it up to you! kisses! mwah!
Sms: Baby leo nakula chakula kitamu kweli. Sijui wewe unakula nini. Natamani tungekuwa wote. Karibu mpenzi
Jibu: ahsante mami, najua ulivyo stadi wa hiyo dpt, i miss your cuisine, najilia mchemsho tu hapa.......enjoy my dear!
Sms: Honey, yaani ile perfume uliniletea inanukia vizuri ajabu. Yaani hapa nipo nasikia harufu yake na kukuwaza wewe, tena nakumbuka leo umetoka fresh na ile tshirt nilikununulia. Ukisoma hii sms wewe unapata hisia gani?
Jibu: switi karibu, am glad unaipenda hiyo perfume, my gal has got to smell sweet... t-shirt bomba kila mtu anaulizia basi naringa kusema imetoka kwa my heartthrob! ahsante sana mami.
Haya habari ndo hiyo!!!π
Sms: Sweet, nimekukumbuka sana leo, natamani tungekuwa sote mida hii. Upo wapi mpenzi?
Jibu: Nipo
Sms: Yaani nimekutafuta kweli mpenzi, mbona ulikuwa hupatikani? Mwenzio sijalala nakufikiria wewe my love. Umenimiss?
Jibu: Simu iliisha charge
Sms: Baby leo nakula chakula kitamu kweli. Sijui wewe unakula nini. Natamani tungekuwa wote. Karibu mpenzi
Jibu: Thank you
Sms: Honey, yaani ile perfume uliniletea inanukia vizuri ajabu. Yaani hapa nipo nasikia harufu yake na kukuwaza wewe, tena nakumbuka leo umetoka fresh na ile tshirt nilikununulia. Ukisoma hii sms wewe unapata hisia gani?
Jibu: Tshirt inanibana

ahaaaaaaaaaaaaa yaani unijibu hivyo nakutosa! mmm ati t-shirt inanibana!