Elections 2010 SMS ya Maandamano nchi Nzima Ijumaa Imeanza

Watu wakutoka nyanda za juu niwapumbavu wa akili,je vip mtu aitwe Dr. Then busara akanyimwe,je utamuita msomi?
 
Twendeni polepole tunaandamana kwa sababu ipi......na maandamano ya amani ya kushinikiza nini?

Chadema wanatakiwa watoe takwimu za kututhibitishia kwanza ni nani kashinda chaguzi hizi kabla ya kuandamana......vinginevyo tunaandamana kwa sababu zipi?

Mimi naamini wakati wote matangazo ya matokeo yanatolewa, ninamini CHADEMA was recording data from mawakala wao!! Kwa hiyo, najua wao wana data za matokeo!!! Au kwa kutumia sources zao, nina uhakika wanajua kinachoendelea, cha msingi ni kuja hadharani na kuleta ukweli!!:doh:
 
Ibnabdillahi...elimu yako itakuwa ya Madrasati ndiyo maana most of u ur still poor, stupid and nothing. There will be no developemnt if we have such stupid people like u. Yo never reason, U never think, ispokuwa ni kubeba chochote anchosema shekhe wako au maalimu wako, that is nonsense. How dare can u vomit stupid things like these.....tunapozungumzia afya mbovu, elimu mbovu, how do we relate this with imani ya mtu? Be composed, be thinker please. Hii ni degree ya juu kabisa ya umbumbumu...............@ Acid is Banned: For ur information we all have families, lakini inapokuja kwenye suala la haki, nadhani we don't need to think about that. By the way majority of women hapa nchini wanhitaji purnishment kubwa sana, coz are the ones wanaoshabikia ujinga while at the same time wao ndio wanakabriwa na matatizo mengi sana ya nchi hii........itimke wapate akili stupid
 
sometime ninapoona yanayoendelea kwa sababu ya NEC ya ccm najikuta machozi yakinitoka ila lazima tu control temper and emotion kama mnataka tufike maana ni Tz wenzetu wenye haki kikatiba kama sisi ila wao wameshika mpini na wanautumia bila kujari.
I'm sure we're wise citizens than their pupets. Our strugle has strong reasons but local citizens we are strugling for are they real ready if they even don't bother to vote? My concer now is for my fellow members who use their resources especially Dr Slaa for tzs. Ninachosema ukweli wanao na historia itawahukumu
 

mods fungia hii mutu upesi. Iko naleta udini.
 
silly message... speaking as if you dont care about your country and relatives
 

slaa alituambia, mtu akikutukana geuka nenda, ataona umemdharau na ataipatapata.... akikupiga muangalie na ondoa

there is another way to defeat rigging, ni uchaguzi ukiisha kuweka details sawa na kuanza kuitoa jasho... hawana nguvu ya zamamni tena, kimebaki kikundi kidogo sana ambacho wako tayari kukimbia nchi anytime mambo yakiwa magumu
 

una kichaa Tindikali,we ndo shamte au ndo mzee wa IT ya upanga? Usitutishe bwn,"Its better to die in the Living idea than living in the dead idea" then Tindikali remain in such dead ideas of yours. Good year!
 


Unachotaka wewe ni kwamba wananchi waendelee kudhulumiwa tu, mafisadi wafaidi? Haiwezekani! Tumechoshwa na dhuluma! Wananchi WANA HAKI ya kubadilisha UTAWALA WA KIDHALIM iwapo unaendelea kuwatawala bila ya kujali haki zao.

Tanzania hivi sasa umaskini umekithiri, matajiri wanafanya kufuru. Dar es Salaam utawaona wanapita. Audi Q7 (gari mpya, toleo la 2010) ni kawaida kuyaona barabaani. Hummer H2 imekuwa kama gari ya kwendea sokoni, wao wameshazoea.

Vijijini mkoa wa Tanga, watu wanazaliwa, wanalelewa, wanakua, wanaoa, wanazaliana, wanafariki, miaka yao yote ya maisha, NDANI YA NYUMBA ZA TEMBE! Nyumba za matofali na mabati, sembuse maghorofa, wanafanya kuziona wakiwa mjini kutembelea ndugu. Wakifika, wengine kwenye lifti wanaogopa kuingia, wako radhi watembee kwa miguu wakipanda ngazi. Hawajazoea! We wasema WASUBIRI 2015?

Ndio, Watanzania WATAANDAMANA KWA AMANI, ni HAKI YAO ya KIKATIBA! Kuandamana kupinga udhalimu ni HAKI ya kila Mtanzania.

Atakayeleta fujo ni mwenye kumiliki dola, atakapowatuma askari wake kuwatawanya Watanzania (watakaoandamana kwa amani), akitumia mbwa,mabomu ya machozi na magari yenye kumwaga maji ya kuwasha (vyote hivi vikiwa vimenunuliwa KWA PESA ZITOKANAZO ZA KODI ZAO!). UFISADI ULIOKITHIRI!

Slaa tayari ALITOA ONYO kwa Kiktwete, kwamba, mwenye uwezo wa kumwaga damu ni ANAYEMILIKI DOLA, yaani, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi. Katiba ina kasoro nyingi sana. Hivi sasa, HAJAAPISHWA, lakini anajulikana kwamba RAIS wa JAMHURI ya MUUNGANO wa TANZANIA! Kwa mujibu wa KATIBA GANI?

Nyoooo!

MKOME kutuchezea! Tutaidai haki yetu kwa NGUVU ZETU ZOTE! Hivi mlikuwa MMELALA wakati wananchi walipomtoa Nduli Marcos wa Phillipinies? Usicheze na PEOPLE'S POWER!

-> Mwana wa Haki

2010 NI WAKATI WA MABADILIKO! HATUDANYANGIKI! HAKI LAZIMA IPATIKANE! UKIUKWAJI WA HAKI UTAKOMA! KURA ZETU HAZIPOTEI!
 
Mimi naunga mkono hoja. Niliwahi kuandika humu kuwa ccm kamwe haiwezi kutoka kwa sanduku la kura, sasa leo tumeyaona. Katika mapinduzi yoyote duniani ni lazima pawe na watu brave wa ku-sacrifice hata ikibidi maisha yao. Tuandamane kwa amani, kuiambia dunia kuwa tumeibiwa kura, sasa wakileta mabomu yao watakuwa wamejitakia wenyewe.

Lakini kabla ya yote tungependa kusikia kauli thabiti ya Chadema kuwa wameyakataa matokeo kwa uthibitisho wa uchakachuaji, kisha makamanda tuingie barabarani. Dr Slaa ndiye raisi wetu, tumechoka kuonewa, tumechoka kunyanyaswa sasa tunasema basi.
 
Mandamano ni haki ya kikatiba hatuwezi kukubali kunyanyaswa enough is enough makamba asituletee fujo makamba na kinana wamehujumu haki ya watanzania milioni 40 nguvu ya umma lazima tuandamane nchi nzima na tutafikisha ujumbe kwa makamba na wengineo wote huu ni udhalilishaji na ukaburu uliopindukia hatuitaki tume ya ccm wanatukera anayepinga maandamano haya ni kafiri na nyani wa kutupwa njee matopeni
 
Naunga mkono maandamano CCM na tume ya Uchaguzi ndo wakulaumiwa kwa yote yatakayotoke majimbo ya ubunge kama Sumbawanga mjini, Shinyanga mjini, Kigoma mjini, Segerea, Tarime, Karagwe, khama, Geita, Busanda, Mbeya vijijini, Mpanda, Ulanga Magharibi, Kilombero, Kibaha, Kigamboni, Babati, Bukoba mjini, na mengineyo pamoja na kura za uras zimechahachuliwa waziwazi Kikwete angeweza kushinda si zaidi ya asilimia 55% jamaa anaogopa kuporomoka kwa umashuhuri wake
 
andamaneni dawa yenu ni virungu,maji ya kuwasha na yale ya machozi si mnayajua kura mmeshindwa kupiga halafu mnataka mapinduzi nyie vipi
 
Naunga mkono CCM wamezidi kwa wizi wakati mwingine inabidi zitumike nguvu za wananchi kupatikana kwa haki zisingekuwa nguvu za wananchi Zanzibar ingekuwa chini ya Sultan hadi leo





"The primary objective of Revolution is to take power out of the hands of corrupt leaders and national bourgeoisies and put in the hands of people who have suffered the most, by replacing them with fresh blood, the Revolution has began"Captain Thomas Sankara the President of BurkinaFaso 1984 at the age of 34

__________________________________________________
 

Ni ushauri mzuri Acid, lakini kumbuka kuwa haki popote pale duniani haitolewi kama zawadi, hadi uitolee jasho. Next time itakuwa vile vile ndugu yangu. Kama tukiwa na busara za kusubiri, itakuwa mpaka kesho kwani mchezo huo hautakoma.
Naunga mkono huo ujumbe. Bora mtu ufe, kuliko kuendelea kuishi duniani kwa mawazo duni.
 
andamaneni dawa yenu ni virungu,maji ya kuwasha na yale ya machozi si mnayajua kura mmeshindwa kupiga halafu mnataka mapinduzi nyie vipi

Wewe umeingia leo humu baada ya kuona Nyambari kashinda kwa wizi na ukaamua kutumia Jina lake, weye kweli mkulima
 

wewe ni miongoni mwa wale chadema wachache hapa jf wanaoongea point!
nakufurahiaga sana nitamshauri j.k akupe ubunge wa viti maalum pale bungeni!
 
dawa ni moja vijana wote nchini tuanzeni kampeni zetu mapema ili mwaka 2015 uwe wa kihistoria. kwani tukijihamasisha sote kujiandikisha kwa wingi, mijini na vijijini kwa lengo la mapinduzi ya mtanzania mabadiliko yanawezekana. na hii italeta changamoto kwa vyama na hata kizazi kijacho hakita kuwa na fikira finyu kwamba bila ccm nchi haiendi au amani itatoweka. tusipo angalia na kutokubali mabadiliko tunako kwenda ni kubaya kila kizazi kinakuja na nguvu zake kimaono. kumbuka kizazi kilicho pita kilikuwa ni kizazi cha kufuata bendera..kidumu chama chamapinduzi,hakuna mtu anaweza kukosoa wal uhuru wa kutoa kashfa, kizazi kilichopo ni kizazi kinacho elewa ila kina hofu juu ya amani na mambo ya kufukirika, kizazi kinacho kuja ni kizazi kinacho elewa na kisicho ogopa, mfano maudhi yanayo fanywa na tume ya uchaguzi mambo haya yakiendele yaani itakuwa ama zangu ama zako. kama hatuta jiandaa kwa hilo tuelewe ni wazi kunamachafuko mbeleni
 
dawa ni moja vijana wote nchini tuanzeni kampeni zetu mapema ili mwaka 2015 uwe wa kihistoria. kwani tukijihamasisha sote kujiandikisha kwa wingi, mijini na vijijini kwa lengo la mapinduzi ya mtanzania mabadiliko yanawezekana. na hii italeta changamoto kwa vyama na hata kizazi kijacho hakita kuwa na fikira finyu kwamba bila ccm nchi haiendi au amani itatoweka. tusipo angalia na kutokubali mabadiliko tunako kwenda ni kubaya kila kizazi kinakuja na nguvu zake kimaono. kumbuka kizazi kilicho pita kilikuwa ni kizazi cha kufuata bendera..kidumu chama chamapinduzi,hakuna mtu anaweza kukosoa wal uhuru wa kutoa kashfa, kizazi kilichopo ni kizazi kinacho elewa ila kina hofu juu ya amani na mambo ya kufukirika, kizazi kinacho kuja ni kizazi kinacho elewa na kisicho ogopa, mfano maudhi yanayo fanywa na tume ya uchaguzi mambo haya yakiendele yaani itakuwa ama zangu ama zako. kama hatuta jiandaa kwa hilo tuelewe ni wazi kunamachafuko mbeleni
 

Pambaf.., kama huna cha kuandika si uendelee na kazi nyingine. Kuandamana ni haki ya msingi ya raia kuonyesha hisia zake. Wewe nini bwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…