Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Tazama kuanzia dakika ya tano.
Wise statementNje ya mada;
Mungu huwainua watu ili wawasaidie wengine
Bahati mbaya baadhi ya watu wakiinuliwa hujiona wao ndio wenye maarifa mengi na kuwaona wengine wajinga
KAMA WALIO BARIKIWA WAKITUMIA NAFASI ZAO VIZURI KWA KUACHA KUJILIMBIKIZIA, HUNGEKUTANA NA MASIKINI HOHEHAHE!
Nje ya mada;

Alikuwaga na gari nyingine kitambo sana TOYOTA CARIB
Si kawawekea shamba hapo wapige kazi,wazalisheKwanini asiwainue hao wengine wajisaidie wenyewe?
Si kawawekea shamba hapo wapige kazi,wazalishe
Ova
Kwanini asiwainue hao wengine wajisaidie wenyewe?
Maneno ya wakosaji hayo....msaada ni Hisani.Kwanini asiwainue hao wengine wajisaidie wenyewe?
Maneno ya wakosaji hayo....msaada ni Hisani.
Ila watu wasiposaidiwa misemo haiwaishi.
Ndo maana maandiko yanasema ni ngumu tajiri kuuona ufalme wa Mungu.Mbaya sana uwe na pesa nyingi wakati ndugu zako ni kapuku
Ni sahihi kabisa.Nje ya mada;
Mungu huwainua watu ili wawasaidie wengine
Bahati mbaya baadhi ya watu wakiinuliwa hujiona wao ndio wenye maarifa mengi na kuwaona wengine wajinga
KAMA WALIO BARIKIWA WAKITUMIA NAFASI ZAO VIZURI KWA KUACHA KUJILIMBIKIZIA, HUNGEKUTANA NA MASIKINI HOHEHAHE!
Hakuna Mungu anae inua watu.Nje ya mada;
Mungu huwainua watu ili wawasaidie wengine
Kwenye hii dunia huna deni na mtu.Bahati mbaya baadhi ya watu wakiinuliwa hujiona wao ndio wenye maarifa mengi na kuwaona wengine wajinga
Kwa nini na wewe usijilimbikizie?KAMA WALIO BARIKIWA WAKITUMIA NAFASI ZAO VIZURI KWA KUACHA KUJILIMBIKIZIA, HUNGEKUTANA NA MASIKINI HOHEHAHE!
Mafukara siku zote yanaona kusaidiwa ni haki yao.Maneno ya wakosaji hayo....msaada ni Hisani.
Ila watu wasiposaidiwa misemo haiwaishi.
Shamba hilo waliendeleze wapige kazi tuManeno ya wakosaji hayo....msaada ni Hisani.
Ila watu wasiposaidiwa misemo haiwaishi.
Mbaya sana uwe na pesa nyingi wakati ndugu zako ni kapuku
Hatari
Labda wapate hiyo akili.Shamba hilo waliendeleze wapige kazi tu
Ova