SMS ya Ndugai ya mwisho aliyomtumia ndugu yake, aonesha gari la kwanza alilofanyia kampeni 2000

Duuh
Mkuu hii comment ipo personal...you went soo hard and deep.
 
Wanasubiria aliyewainua,awainue na wao!
 
Kwanini Mungu asiwainue hao wengine wajisaidie wenyewe?
Ndio sababu akakuinua wewe uwasaidie
Mungu hufanya kazi zake kwa namna yake na sio kwa namna ya kibidamu
Mfano: Mtu anaweza kumlilia Mungu amsaidie Ada ya mtoto, atokee mtu alipe . Yule aliyejitokeza ametumwa na Mungu bila yeye Kujua ....
Sasa wale wanaobarikiwa au niseme wanaotumwa kusaidia badala yake wanajilimbikizia kama wataishi milele bila kuwajali masikini; Watamalizana na Mungu mwenyewe siku za mwisho!
 

Doesn't make no sense. Mmoja kaumbwa kusaidia mwingine kusaidiwa tu. Yani yeye ni golikipa tu. Nonsensical.
 
Doesn't make no sense. Mmoja kaumbwa kusaidia mwingine kusaidiwa tu. Yani yeye ni golikipa tu. Nonsensical.
Kusaidia, sio kumpatia mtu chakula kila siku
Kama unakipato, ununulie mtu nyavu akavue samaki wake mwenyewe ili asikuombe tena.
Namaanisha toa mtaji kulingana na mahitaji ya mtu (mwingine anahitaji baiskeli, mwingine mtaji wa laki mbili, nk nk
ANZA NA WATU WA FAMILIA YAKO!!!
 
Kwanza Ndugai alikuwa anapenda umaskini wa raia wa Kongwa na mateso.Muda mwingi ilikuwa kupambana na Mbowe hata wakati Mbowe sio mbunge wakati kwa akina Mbowe shule zinatafuta wanafunzi na barabara ziko kila kona na maji na umeme.Hivi nani anaamini Ndugai na ubabe wote sasa hivi analiwa na wadudu na cheo na nafasi yake vinanadiwa bila uoga wowote.Itoshe kusema Mungu ni fundi.
 
Wakristo wengi ni roho mbaya sijui hiyo dini yenu Huwa inawafundisha nini hasa

Mbona hii ni tabia ya Muddy? Walikuwa wakipora mali na wenzie. Wakimwambia wagawane anasema. Mwenyezi mungu amesema hizo za mungu na mtume wake. Alikuwa ana wazima wenzie kihuni. 🤣
 
Mbona hii ni tabia ya Muddy? Walikuwa wakipora mali na wenzie. Wakimwambia wagawane anasema. Mwenyezi mungu amesema hizo za mungu na mtume wake. Alikuwa ana wazima wenzie kihuni. 🤣
Achana na stori za kina Muddy tuje kwenye maisha halisi ya mtaani na maofisini Mnaojiita wakristo ni roho mbaya na makatili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…