Smuggled from Tanzania! “Spare Parts” ama Cover-Up? Python Ya 13ft Yakamatwa Ikiwa Inaingia Nairobi

Smuggled from Tanzania! “Spare Parts” ama Cover-Up? Python Ya 13ft Yakamatwa Ikiwa Inaingia Nairobi

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Story imechoma moto online after polisi wa Namanga One Stop Border Post kunasa python kubwa sana ndani ya basi iliyokuwa ikitoka Dar es Salaam kuelekea Nairobi.

Kwa mujibu wa Kenya Police Service, nyoka huyo wa karibu 13 feet alipatikana akiwa amefichwa ndani ya crate ya mbao iliyokuwa imeonekana kama spare parts za gari. Lakini after routine inspection, maafisa walinotice something ilikuwa off kwa luggage compartment ndipo wakafungua na kupata surprise ya maisha .

Experts waliitwa kwa haraka kuhakikisha python ameondolewa safely bila kuleta danger kwa abiria au maafisa. Meanwhile, crew wa basi wamewekwa custody as investigations zinaendelea kubaini: Nyoka alitoka wapi?
Alikuwa anaenda wapi Nairobi?

Na nani alikuwa nyuma ya hii smuggling attempt?
Hii si incident ya kawaida inaonyesha how wildlife trafficking bado iko high, especially kwa border routes kama Namanga. Serikali imekuwa ikiongeza efforts kupambana na illegal trade ya wanyama.

Swali kwa mtaa:
Hii python ilikuwa pet, biashara, ama kuna kitu deeper kinaendelea behind the scenes?
Source: citizen digital
 
Si ungewauliza hao hao waliokamatwa ukajua in deep
 
Back
Top Bottom