SMZ yakana kufuja fedha kwa `mashangingi`


Mkandara baba
Kunawatu watu hapa usiwatajie kabisa hao masultani kwani kwao kwao hakuna hata moja zuri ambalo walilo lifanya hata wewe ni mkali mno unapo tajiwa watu wa kisiwa kingene eti kwa sababuni warangirangi sasa leo tunaye mtawala mweusi mwenzetu unasema bora sultan? kwani tusibadilike kidogo ulevi wa mapinduzi ndio huo
La ajabu mpaka leo bado tunatukuza mapinduzi ambayo walio wengi tunaona ni kama hadithi za mama na mwana na debora mwenda,
usiwemkali mimi ninaweza kusema ni bora huyo mkoloni hakutufikishia upuuzi kama huu kuliko hawa jamaa
amakweili waafrica ndivyo tulivyo
 
Hiyo kali, wakasamehewa deni wakalipwa fedha? Inawezekana sijaelewa vizuri hiyo mantiki, na bado wakaona ni fedha za ziada hazina matumizi ngoja tuzitapanye tu? Na wanasema sio za wananchi? Huku kweli kulewa! Hivi katika nchi fedha za wananchi ni zipi? kuna zingine wananchi haziwahusu kabisa.
Hiki ni kama kichekesho fulani, nadhani si kweli hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…