Snails zimechukua Mashamba Mwea Rice Farmers Cry Out as Harvests Face Collapse

Snails zimechukua Mashamba Mwea Rice Farmers Cry Out as Harvests Face Collapse

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Wakulima wa mpunga kutoka Mwea Irrigation Scheme wako na hofu kubwa baada ya uvamizi wa konokono (snails) kuharibu mazao yao kwa kiwango kikubwa. Hii ni crisis ambayo inaathiri moja kwa moja chakula na kipato cha wananchi wa kawaida.

Farmers wanasema snails wanashambulia mpunga tangu nursery stage hadi baada ya kupandikiza, meaning losses ni kubwa sana. “Tunajaribu kila kitu but hakuna solution ya kudumu,” alisema mkulima mmoja kutoka Tebere.

Wengine wameanza kutumia chemicals hatari kutoka nchi jirani kama Uganda kwa desperation. Hii inaleta risk si tu kwa afya ya wakulima bali pia kwa consumers. Swali kubwa ni: serikali iko wapi?
Kiongozi wa PLP, Martha Karua, ameikosoa serikali akisema badala ya kusaidia farmers, inaendelea ku-import rice— kitu ambacho kinaumiza wakulima wa local kama wa Mwea.
Kwa ground, wananchi wanalalamika juu ya changamoto nyingi: snails, quelea birds, maji machafu, roads mbaya, na bei ya rice ya nje kushusha soko ya Pishori ya local.
Kwa mwananchi wa kawaida, hii ina maana gani?
  • Chakula kinaweza kuwa ghali
  • Local farmers wanapoteza kipato
  • Health risks zinaongezeka kutokana na chemicals
Je, solution itatoka wapi? Na ni lini serikali itachukua hatua? Wakulima wanasema wamechoka kungoja.
Source:Citizen digital
 
Back
Top Bottom