Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Nilidhani nimeshajua kila kitu kuhusu EPA... then comes this! Anna Mkapa (mke wa aliyekuwa Rais wetu BWM) anadaiwa kuwa na connection ya ajabu (au inayomake sense) ya EPA... Baadhi ya washitakiwa (ambayo majina yao yamewekwa kapuni) walielekezwa juu ya uwepo wa akaunti ya EPA na jinsi ya kupeleka "maombi" yao na Bi. Mkapa. Kwa muda mrefu nilikuwa nauliza kwanini Mkapa haonekani kwenye EPA moja kwa moja wakati mambo haya yanaonekana kufanyika mbele ya uso wake...
Ka nzi ketu ambako kamebahatika kufika kusikotakiwa kufika kanadokeza kuwa connection ya Mkapa na EPA inapatia kwa mama Anna Mkapa!
Mkuu Jmushi usihusishe group nzima, it is enough already. Mkoa unarepresent almost viongozi wote waliopelekwa Kisutu so u don't need to make it worse.
Disclaimer:: I'm against All ufisadi against the United Republic of Tanzania

Tatizo la sisi Africans ni tamaa tamaa taamaaa. Tukipata madaraka we think we are on top of everyone, hatufikiri kesho ni leo leo. Viongozi wan chi yetu wanafikiri we put their for us to serve them instead of them to serve us.
No one get my sympathy other than their families (those family members) who havent been involved in ufisadi issues, maana nimesikia Mkapa familia zima ni masifadi mpaka Watoto!
hivi na mke wa raisi na yeye yuko kwenye kinga kama raisi? Yaani anaweza asishtakiwe kwa sababu mumewe alikuwa raisi? (Yaani mfano Mama Mkapa) au ni Raisi tuu peke yake?
Mimi nasema forget about kinga. Kinga for what? Kamata hilo jitu sasa hivi, somea mashitaka, funga gerezani.
hivi na mke wa raisi na yeye yuko kwenye kinga kama raisi? Yaani anaweza asishtakiwe kwa sababu mumewe alikuwa raisi? (Yaani mfano Mama Mkapa) au ni Raisi tuu peke yake?