Sneak Peek: Anna Mkapa na EPA

Sneak Peek: Anna Mkapa na EPA

lol this is so funny. lets be serious, hili lijimama jizi linakinga? na kama anakinga dah iyo nikali...

Kwa nini wezi wawe na kinga bana? Mimi I don't get it. If I had my way, kungekuwa na nidhamu serikalini, I swear.
 
Nilidhani nimeshajua kila kitu kuhusu EPA... then comes this! Anna Mkapa (mke wa aliyekuwa Rais wetu BWM) anadaiwa kuwa na connection ya ajabu (au inayomake sense) ya EPA... Baadhi ya washitakiwa (ambayo majina yao yamewekwa kapuni) walielekezwa juu ya uwepo wa akaunti ya EPA na jinsi ya kupeleka "maombi" yao na Bi. Mkapa. Kwa muda mrefu nilikuwa nauliza kwanini Mkapa haonekani kwenye EPA moja kwa moja wakati mambo haya yanaonekana kufanyika mbele ya uso wake...

Ka nzi ketu ambako kamebahatika kufika kusikotakiwa kufika kanadokeza kuwa connection ya Mkapa na EPA inapatia kwa mama Anna Mkapa!

Safi sana kama hili lina ukweli. Mafisadi Mr & Mrs Mkapa wataendelea kujificha lakini Watanzania tumewakalia kooni kuhusu ufisadi waliofanya dhidi ya nchi yetu. Hakuna pakutokea safari hii mpaka kieleweke.
 
Kwa nini wezi wawe na kinga bana? Mimi I don't get it. If I had my way, kungekuwa na nidhamu serikalini, I swear.

Hakuna kinga dhidi ya fisadi Mkapa wanasheria wameshafafanua katiba kwamba haimkingi kwa mambo aliyoyafanya kama Mkapa, lakini kinachofanyika hapa ni mafisadi wa CCM kufanya kila njia kumkingia kifua fisadi mwenzao maana wanajua akiumbuliwa hadharani basi ndiyo mwisho wa uhai wa Chama Cha Mafisadi.
 
Hakuna kinga dhidi ya fisadi Mkapa wanasheria wameshafafanua katiba kwamba haimkingi kwa mambo aliyoyafanya kama Mkapa, lakini kinachofanyika hapa ni mafisadi wa CCM kufanya kila njia kumkingia kifua fisadi mwenzao maana wanajua akiumbuliwa hadharani basi ndiyo mwisho wa uhai wa Chama Cha Mafisadi.

Mkapa aumbuliwe tu wala isiwe shida. Kwani CCM ikifa ndiyo mwisho wa Tanzania?. Kamata Mkapa sweka ndani, na nyanga'anya mali zetu zote.
 
Huyu Mama familia yao yote iko hivyo kuna mama anaitwa Halima alikuwa mkuu wa wilaya ya geita alibadili dini kwasababu ya mume ni mdogo wake na huyu ANNA Mkapa aliiba pesa nyingi za wanachi kipind cha kusaminisha mashamba ya wanakijiji alikuwa anashirikiana na afisa aridhi.Mambo yaklipokuwa hadharani shemeji yake akamhamisha wilaya mara akapewa cheo cha kuwakilisha wanawake nje ya nchi cjui sasa yuko wapui
 
Nyani Ngabu,
Maneno yako safi sana na kila mtu anaomba ingekuwa hivyo lakini sio Afrika mkuu wangu..Mugabe huyo hapo yaani natamani niwe Carlos yule - The Assassin lakini ndio sikuumbwa na roho hiyo..Angalia jinsi viongozi na sheria zetu zilivyomwekea kifua...
Ndio Reality yenyewe, inauma sana lakini ndio tufanyeje!...Kikwete kisha sema tumwache mzee wa watu, sasa sijui kama kuna sheria yoyote ya nchi ya Wadanganyika inayoweza kupingana na kauli ya Rais!..
 
Back
Top Bottom