Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
lol this is so funny. lets be serious, hili lijimama jizi linakinga? na kama anakinga dah iyo nikali...
Nilidhani nimeshajua kila kitu kuhusu EPA... then comes this! Anna Mkapa (mke wa aliyekuwa Rais wetu BWM) anadaiwa kuwa na connection ya ajabu (au inayomake sense) ya EPA... Baadhi ya washitakiwa (ambayo majina yao yamewekwa kapuni) walielekezwa juu ya uwepo wa akaunti ya EPA na jinsi ya kupeleka "maombi" yao na Bi. Mkapa. Kwa muda mrefu nilikuwa nauliza kwanini Mkapa haonekani kwenye EPA moja kwa moja wakati mambo haya yanaonekana kufanyika mbele ya uso wake...
Ka nzi ketu ambako kamebahatika kufika kusikotakiwa kufika kanadokeza kuwa connection ya Mkapa na EPA inapatia kwa mama Anna Mkapa!
Kwa nini wezi wawe na kinga bana? Mimi I don't get it. If I had my way, kungekuwa na nidhamu serikalini, I swear.
Hakuna kinga dhidi ya fisadi Mkapa wanasheria wameshafafanua katiba kwamba haimkingi kwa mambo aliyoyafanya kama Mkapa, lakini kinachofanyika hapa ni mafisadi wa CCM kufanya kila njia kumkingia kifua fisadi mwenzao maana wanajua akiumbuliwa hadharani basi ndiyo mwisho wa uhai wa Chama Cha Mafisadi.