I guess it's because I associate them with their eponymous superstar.
I don't feel him either.
toka mheshimiwa akataze pool table...athari zake naziona um...sasa mda mwing mnatumia kupost utumbo..
unadownload viatu af unatuma um....nikikuuliza ntavipataje uwez nipa jibu....unafaidika nin ..hakuna
toka mheshimiwa akataze pool table...athari zake naziona um...sasa mda mwing mnatumia kupost utumbo..
unadownload viatu af unatuma um....nikikuuliza ntavipataje uwez nipa jibu....unafaidika nin ..hakuna
imekukuna vilivyo mwanaume unajadili mitindo?Utumbo ni huu ulio post wewe!
imekukuna vilivyo mwanaume unajadili mitindo?
Hapa kwenye aiseeGucci
All Star converse
yep, this is niceNow this right here is da bizness....fresh to death!
Giuseppe Zanotti men's mid-top sneaker in matte calf leather with tonal hardware.
hapo hamna kituKanye West's Yeezy sneakers
hawa ni wakongwe kwenye game
Kabisaahawa ni wakongwe kwenye game
mkuu NN achana nae huyo boya, anataka kila mtu a discuss kilimo na uvuvi. kavamia jukwaa huyo moron Nigga.Mbona hata wewe unajadili hiyo hiyo mitindi?
La sivyo, nini kilichokuleta huku? Umeitwa?
Katika vyote ulivyoweka, hivi ndivyo nimevielewa...vinafanana na Timz Chukka....ila vingine vile aisee hapana, viatu vina shape mbaya utafikiri lori la Fiat!!Gucci
Katika vyote ulivyoweka, hivi ndivyo nimevielewa...vinafanana na Timz Chukka....ila vingine vile aisee hapana, viatu vina shape mbaya utafikiri lori la Fiat!!
Zipo poa...simple and classic...hazina 'makelele' kama hivi viatu vinavyovyaliwa na teenagers siku hizi...Kumbe na wewe unapenda chukka boots? Mi ninazo pea kama nne hivi za chukka...mbili zikiwa Timbs.
Una window shop kwa afya hehejeHiyo website huwa nachungulia tu na kusepa!. Kuna cologne moja hivi wanauza $800