Sneakers

Sneakers

images-5.jpeg
Kumbe na wewe unapenda chukka boots? Mi ninazo pea kama nne hivi za chukka...mbili zikiwa Timbs.


images-2.jpeg




Talkin ' bout Timbs....hii hapa sijui ni collabo na LV
 
Pole kwa kukwazika.
Jinsi ya kuzipata, copy hayo majina yao magumu ingia google. Kuna njia ya kununua online. Unaweza pia kuingia ebay ukasaka humo na kujiagizia mwanawane.
Mkuu pole sana kwa kuumia, lakini naona ume boogy step. Hili jukwaa tuna share na kujifunza mapya yaliyojiri ktk ulimwengu wa mitindo.
Jukwaa la Complaints lingekufaa zaidi.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom