kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,499
hapo hamna kitu
🙂
Kwa nini hampendi Yeezies jamani, naona viko very comfortable!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo hamna kitu
🙂
Kwa nini hampendi Yeezies jamani, naona viko very comfortable!
Kumbe na wewe unapenda chukka boots? Mi ninazo pea kama nne hivi za chukka...mbili zikiwa Timbs.
Mkuu pole sana kwa kuumia, lakini naona ume boogy step. Hili jukwaa tuna share na kujifunza mapya yaliyojiri ktk ulimwengu wa mitindo.
Jukwaa la Complaints lingekufaa zaidi.
Sorry Nyani Ngabu I know thread is about Sneakers but...Couldn't hold back on these timbs.
View attachment 335127 View attachment 335128
appearance haiko poa🙂
Kwa nini hampendi Yeezies jamani, naona viko very comfortable!
hizo birkenstock sandles ni noma za ukweli sanaMy favorite shoes/sandles.
Skechers WALK.
View attachment 335141
Dr. Martens
View attachment 335143
Birkenstock Sandles
View attachment 335144
Hush Puppies VIBRAM
View attachment 335145
Nike Shox
View attachment 335147
hizo birkenstock sandles ni noma za ukweli sana
View attachment 335299 View attachment 335300
Bei yake sasa!, ($1000) I wonder if that's real gold around the shoe.
Hiyo all star tu,View attachment 335301 View attachment 335302
White sneakers. Been in style forever, and they say they go with everything.
Hhhs tupo wengi huhI'm not feeling those Yeezies....