Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #81
Sneaker huwa navaa tu Adidas Classic hizi zingine tunawaachia watoto.
Inapatikana kwa ngapi hiyo?Haya...kwa wale wapenzi wa sneaks hebu fungukeni.
Ni kicks gani mnazozipenda?
Cheki kitu cha Giuseppe Zanotti hicho....kimetengenezwa na ngozi ya chatu!
Ukienda Neiman Marcus kinapatikana bila shida yoyote ile....😛
hichi ndicho kiatu changu
Viatu vya Kanye Bwana [emoji16][emoji16]
Kanye West's Yeezy sneakers
Hiki kiatu ni mwisho wa matatizo [emoji91][emoji91]
Kwani kuna aliesema hivi viatu si vya kawaida? Kila mtu ameweka viatu vyake anavyovipenda.mbona viatu vya kawaida hivi?