mtima nyongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,947
- 2,047
Alitaka viwekwe vinavyowaka taa au vya matairiKwani kuna aliesema hivi viatu si vya kawaida? Kila mtu ameweka viatu vyake anavyovipenda.
Kiatu kinasura mbaya sijapata onaMy fav for now...adidas yeezy
Kicks gani anapendelea zaidi?Mpenzi wangu anapenda hayo mambo balaa.....
Duh kumbe nimechelewa!Mpenzi wangu anapenda hayo mambo balaa.....
sifatiliagi majina/design . huwa nawaza hizo $$ tu zinazotumika kununua...Kicks gani anapendelea zaidi?
umechelewa sana....Duh kumbe nimechelewa!
Kwako wewe namtupa yule...umechelewa sana....
Ile thread haikuzaa Matunda kwani
Skecher!Those are some fresh kicks!
Duh! hii nayo tamuHey Kui, I've got some Rene Caovilla - Swarovski Embellished Lace kicks for you.
Get your swag on fleek each time you hit the gym to work on them glutes😉.
View attachment 334579
Kumbe Nyaningabu ndio Richard Mugizi?Hahaaa... Neiman huwa naingia mzima mzima aisee, hizo za kwenye clearance rack ukizitaka unazivizia kule Eastbay, unaweza kuibua kitu safi kwa bei poa kabisa!.