Snoop Dogg anapanga kuacha kuvuta sigara?

Snoop Dogg anapanga kuacha kuvuta sigara?

Pengine mapafu yamenong'onezana yamechoka maisha ya kutumikishwa yamejadiliaa yakaona yamshirikishe na yeye
 
Ni bangi si sigara. Huyu jamaa alikuwa anatumia hadi zaidi ya Mil 20 Tshs kuvua bangi kwa mwezi mmoja.
 
Anataka kufungua Madrasa.

Usimuamini Mvuta bange aliyeweza kusema 1×3 Ni sawa na 3×1....akizungumzia Bange dossage.
 
Uzuri wa ndusu unaweza ukapumzika Kwa muda unaotaka mfano mm nipo kwenye monthly cleansing nakunywa maziwa na matunda kibao,mwezi ukiisha narejea tena,wale wanasema eti Ina addiction mnakuza mambo.Sembe ndio kitu kingine.
 
Ngumu, labda km anapumzika kwa muda

Aache Tu maana toka amenza kuvuta atakua kavuta zaidi ya tani 1mil za bangi

Dah sa mbona mteja wa ndumu kapungua!itakuwaje?

“I have decided to give up smoke…”

Nimeamua kuacha/kuachia moshi….

Hii hapa juu Mbona Kama tungo tata?

‘I have decided to give up smoking…’

Nimeamua kuacha kuvuta….

Aprili fool ilimkuta akiwa yupo bize sana

Kwa hiyo saizi ana muda wa kutosha

Kupitia mtandao wa X, Snoop Dogg amepakia ujumbe unaosema

''After much consideration and conversation with my family, I've decided to give up smoke. Please respect my privacy at this time'

''

Baada ya kuzingatia sana na kufanya mazungumzo na familia yangu, nimeamua kuacha kuvuta. Tafadhali heshimu faragha yangu wakati huu.

View attachment 2815967
View attachment 2815968

Pengine mapafu yamenong'onezana yamechoka maisha ya kutumikishwa yamejadiliaa yakaona yamshirikishe na yeye

Another customer lost

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni bangi si sigara. Huyu jamaa alikuwa anatumia hadi zaidi ya Mil 20 Tshs kuvua bangi kwa mwezi mmoja.

yupo sahihi ulishasikia mtu ka overdose bange akafa, bangi itakupa usingizi tu.

Aache apumzishe mapafu

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app

Uzuri wa ndusu unaweza ukapumzika Kwa muda unaotaka mfano mm nipo kwenye monthly cleansing nakunywa maziwa na matunda kibao,mwezi ukiisha narejea tena,wale wanasema eti Ina addiction mnakuza mambo.Sembe ndio kitu kingine.

Amekila raha zootee acha apumzike
 
View attachment 2815902
Rapa na Mtayarishaji Mkongwe wa Muziki wa Hip Hop, Snoop Dogg ametangaza kuacha Uvujati Sigara baada ya kukaa na kushauriana na Familia yake.

---
Rapper na nyota wa hip hop Snoop Dogg ametangaza kuacha kutumia bangi. Mwanamuziki huyo, ambaye jina lake halisi ni Calvin Broadus, alifanya tangazo la kushangaza kwa wafuasi wake kwenye mitandao ya kijamii.

Alisema: "Baada ya kuchukua muda mrefu na kufanya mazungumzo na familia yangu, nimeamua kuacha kuvuta. "Tafadhali heshimu faragha yangu wakati huu."

Katika kipindi chote cha kazi yake, alama ya biashara ya Snoop Dogg imekuwa ni kuvuta bangi, na biashara nyingi na maonyesho yake ya vyombo vya habari vimehusisha bangi.

Hii sio mara ya kwanza kwa Snoop Dogg kujaribu kuacha matumizi ya dawa. Alisema mwaka 2002 kwamba alikuwa anaacha matumizi ya dawa kwa njia nzuri. Lakini hakupita muda mrefu baadaye, na jaribio lake la kuishi maisha safi lilichekwa katika filamu ya Adam Sandler ya 40 First Dates.

Mwaka 2013, akiongea na jarida la GQ kama Snoop Lion, mwanamuziki alishiriki kwamba alikuwa anavuta misokoto 80 ya bangi kila siku. Snoop Dogg alipanda umaarufu baada ya kutokea kwenye albamu ya Dr. Dre ya mwaka 1992 'The Chronic', ambayo ilikuwa na jani la bangi kwenye ukurasa wa mbele.
Ilikua NI tangazo la majiko yasiyokua na Moshi (smokeless stove)
 
Attachments

  • Screenshot_20231229-195634~2.jpg
    Screenshot_20231229-195634~2.jpg
    105.7 KB · Views: 3
  • Screenshot_20231229-195600~2.jpg
    Screenshot_20231229-195600~2.jpg
    54.8 KB · Views: 2
Alimba mwenyewe

Smoke the weed, everyday
Don't smoke the seed, no way
Smoke the weed, hey
Smoke the weed...

....Music is my weapon, rewind and let it play
Babylon, the police, sun set the whole day
They call me Snoop Lion, I smoke everyday...
 
Kwa hiyo snoop ndy mtu wa kwanza kuacha kuvuta sigara duniani

Ova
 
Kupitia mtandao wa X, Snoop Dogg amepakia ujumbe unaosema

''After much consideration and conversation with my family, I've decided to give up smoke. Please respect my privacy at this time'

''

Baada ya kuzingatia sana na kufanya mazungumzo na familia yangu, nimeamua kuacha kuvuta. Tafadhali heshimu faragha yangu wakati huu.

View attachment 2815967
View attachment 2815968
Ila hiki chuma😀😀😀😀wiz khalifa anaacha lini
 
Back
Top Bottom