Snoop Dogg anapanga kuacha kuvuta sigara?

Pengine mapafu yamenong'onezana yamechoka maisha ya kutumikishwa yamejadiliaa yakaona yamshirikishe na yeye
 
Ni bangi si sigara. Huyu jamaa alikuwa anatumia hadi zaidi ya Mil 20 Tshs kuvua bangi kwa mwezi mmoja.
 
Anataka kufungua Madrasa.

Usimuamini Mvuta bange aliyeweza kusema 1×3 Ni sawa na 3×1....akizungumzia Bange dossage.
 
Anataka kufungua Madrasa.

Usimuamini Mvuta bange aliyeweza kusema 1×3 Ni sawa na 3×1....akizungumzia Bange dossage.
yupo sahihi ulishasikia mtu ka overdose bange akafa, bangi itakupa usingizi tu.
 
Uzuri wa ndusu unaweza ukapumzika Kwa muda unaotaka mfano mm nipo kwenye monthly cleansing nakunywa maziwa na matunda kibao,mwezi ukiisha narejea tena,wale wanasema eti Ina addiction mnakuza mambo.Sembe ndio kitu kingine.
 
Ngumu, labda km anapumzika kwa muda

Aache Tu maana toka amenza kuvuta atakua kavuta zaidi ya tani 1mil za bangi

Dah sa mbona mteja wa ndumu kapungua!itakuwaje?

“I have decided to give up smoke…”

Nimeamua kuacha/kuachia moshi….

Hii hapa juu Mbona Kama tungo tata?

‘I have decided to give up smoking…’

Nimeamua kuacha kuvuta….

Aprili fool ilimkuta akiwa yupo bize sana

Kwa hiyo saizi ana muda wa kutosha

Pengine mapafu yamenong'onezana yamechoka maisha ya kutumikishwa yamejadiliaa yakaona yamshirikishe na yeye

Another customer lost

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni bangi si sigara. Huyu jamaa alikuwa anatumia hadi zaidi ya Mil 20 Tshs kuvua bangi kwa mwezi mmoja.

yupo sahihi ulishasikia mtu ka overdose bange akafa, bangi itakupa usingizi tu.

Aache apumzishe mapafu

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app

Uzuri wa ndusu unaweza ukapumzika Kwa muda unaotaka mfano mm nipo kwenye monthly cleansing nakunywa maziwa na matunda kibao,mwezi ukiisha narejea tena,wale wanasema eti Ina addiction mnakuza mambo.Sembe ndio kitu kingine.

Amekila raha zootee acha apumzike
Your browser is not able to display this video.
 
Ilikua NI tangazo la majiko yasiyokua na Moshi (smokeless stove)
 
Alimba mwenyewe

Smoke the weed, everyday
Don't smoke the seed, no way
Smoke the weed, hey
Smoke the weed...

....Music is my weapon, rewind and let it play
Babylon, the police, sun set the whole day
They call me Snoop Lion, I smoke everyday...
 
Kwa hiyo snoop ndy mtu wa kwanza kuacha kuvuta sigara duniani

Ova
 
Ila hiki chuma😀😀😀😀wiz khalifa anaacha lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…