TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
- Thread starter
- #21
I haven't said anything about anyone being a snitch bro, haihusiani hata na nachokizungumzia. Ndio naongelea issue yake na Iggy, badae alijaribu tena kwa Amber ila Amber akavunga. Hata kama Eminem amefanya kitu hicho hicho haimaanishi ni sawa, kwa mtazamo wangu.kila sehemu ulio-highlight mbele yake kuna maelezo mazuri, too bad hukuweza kuyatumia kujibu hoja yangu. Pickin up on girls, kama unaongelea ishu yake na Iggy, snoop aliongea ukweli and by far he has never been a snitch, hata hivo Eminem did the same thing kwahuyo Iggy, kumbuka 2pac nae alifanya hivo hivo na Rashida.
It is all about being real, and Snoop has been this guy tokea nianze kumjua. Kwene Roast he was okay hamna kituko cha ajabu chochote alichofanya. Mziki wa Snoop ni ule ule, tofauti ni kwamba inawezekana umemsikia kwene ngoma nyingi za kushirikishwa na ukahisi ndo ambavo hua anaimba.
Unaweza kutoa ushahidi how Pac did the same with/to Rashida?