Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Oh boy!
Nimeweka video inayomuonyesha Snoop akielezea his first weed experience, ukapinga kwamba ni uongo. So nimeomba unionyeshe video inayothibitisha uongo wake, sio article. Coz you can hardly prove those words on the article are his anyway.
If they had you on camera stealing stuff, a million people verifying your alibi wouldn't count my G. Get it, Mtu makini??
Kwanza Tupac amemkuta snoop death row ameshakaa kitambo toka 1991 na ana album ya dogg style,tupac kaingia pale 1995.Wakati huo snoop ni maarufu na tajiri na ana umri wa miaka 21.Kuniambia snoop ameanza kuvuta bangi baada ya kukutana na 2PAC wakati huo ana miaka 21 narudia kusema ni ni uongo...hapo walikuwa na dre kitambo wanavuta bangi mpaka wakashirikiana kutoa album ya the chronic,pili snoop alikuwa pusha wa bangi toka yupo high school.I rest my case.Kila mtu ana uhuru wa kuamini anachotaka kuamini kwa reasoning capacity yake no matter whatOh boy!