Tetesi: Snoop Doggy ndie msanii kutoka nje atakayetumbuiza kwenye Fiesta Dar

Clouds kwa kupenda maveteran, inamaana hadi sasa hawajawa na ubavu wa kuchukua wasanii walio kwenye peak?

Katika hao waliopo kwenye peak nani yupo katika level za snoopy?na akija kweli huyo snoopy nadhani huo uwanja itabidi uongezwe!
 
Huyo mvuta bangi ndio anataka kuja najenga picha stejini atakavyokuwa anavuta huku anaimba mitusi yake
 

Halafu utakuta kuna mijitu inabisha tu na haiamini Kama hawa wanamziki wana mikataba na huyo satan...Mungu atunusuru kwa kweli
 
Sasa ni snoop mavi atakaye tumbwiza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…