Tetesi: Snoop Doggy ndie msanii kutoka nje atakayetumbuiza kwenye Fiesta Dar

Tetesi: Snoop Doggy ndie msanii kutoka nje atakayetumbuiza kwenye Fiesta Dar

Kwa aina ya watu waendao kwenye hiyo mikesha ya burudani Snoop sio mtu sahihi... watu hawatamuelewa kapoteza mvuto, mashabiki wao wengi ni wale wa early 1990s hawamjui Snoop
 
Walishindwa nini kumteka Chriss Brown alivyokuwa hapo Mombasa juzi, akatumbuiza fasta na kusepa...! mpaka watuletee mzee
Kwa ninavyofahamu Snoopy hawezi kuja bongo hakuna taasisi inaweza kumlipa na bwana anazarau sana hawezi kukubaliana na mialiko ya wachovu
 
labda wamejaribu kupoteza watu tu....wale vijana wasanii sana...wakati unamtafakari snoop kumbe wanamleta SAMBA MAPANGALA
 
Kwa wanaofatilia kupenda mziki wa hiphop kwao ni bonge moja ya furaha kama kweli anakuja uncle snoopy!!
.
Huyu ni msanii mkubwa sana, anaye heshimika kwenye anga za rap&hiphop music na ni kati ya wanamuziki wachache sana waliobaki ukiachilia mbali wale waliokwisha tangulia mbele za haki kama tupac& biggy.
Nyie mnaodai snoop ni mzee, mnajua kati ya Jayz na Snoop nani mzee?
Kwa wasio mfahamu, huyu ni kati ya wasanii wenye washabiki wengi sana duniani, na wala clouds hawajakosea kumleta na hii kazi clouds wala hawajaanza jana, kifupi wanaijua kuliko mnavyofikili nyinyi.
Ukisema clouds hawana hela ndiomana wanamleta msanii aliyechuja si kweli, kwani waliwaleta G unit, rick ross na wengine wengi tu wakiwa bado kwenye peak, mkumbuke hawa international artist mara nyingi ratiba zao zinakuwa finyu sana, tena hasa kwa sisi wa dunia ya tatu, kama tulivyoona kwa criss brown au hata Diamond kwa sasa.
Kama hamuamini njooni hiyo tarehe 5 pale leaders muone hilo shangwe lake.
Nyie wa zama hizi za akina meek mill,sijui Tyga mjue tu wanamuki sasa hivi hakuna, umebakia ujanja ujanja tu kama vile bongo ku survive.😀
Ni kweli thread nyingi nimesoma hapo juu inaonyesha hawajui umaarufu wa Snoop DO double G,huyu bwana kama ulivyosema ni rapper wa muda mrefu lakini bado pia yuko kwenye peak.
 
.

Ni kweli thread nyingi nimesoma hapo juu inaonyesha hawajui umaarufu wa Snoop DO double G,huyu bwana kama ulivyosema ni rapper wa muda mrefu lakini bado yuko kwenye peak.

Watoto wa juzii kizazi cha kina Tyga , rich hommie, Young thug lazima waseme snoop kaishiwa!! Wakati kila event ya hiphop lazima jina lake litajwe
 
mmh ndo maana Ruby alikataa.

kwanini wasimlete hata Rihanna?

au Beyonce?

au Drake?

J~Lo?

wanapenda bei nafuu eeh?
 
Show ya Kenya Chris Brown alilipwa TZS. 1,800,000,000/= + Five star hotel(Presidential suit)+Security
 
Mimi nadhani kuliko wamlete huyo, wamlipe tu mwanadada CHEMICAL aje kupagawisha
 
Fiesta ya mwaka huu sio ya kukosa
 

Attachments

  • 1477033684604.jpg
    1477033684604.jpg
    60.3 KB · Views: 64
Mkuu hio kauli niliwahi kuisikia juu juu
Unaweza kuifafanua kidogo
Hebu igeuze kwa kinyume kisha uisome utaelewa maana yake ni

"Satan is God"

Snoop aliimba akasema "If you want to come in my home...u hv to accept "God si Natas""

Akarudia tena u have to realise that.

Snoop, Shaggy na Rihanna ni Wanamuziki wakubwa wawili waliomtukana sana Mwenyezi Mungu katika baadhi ya nyimbo zao.
 
Back
Top Bottom