Tetesi: Snoop Doggy ndie msanii kutoka nje atakayetumbuiza kwenye Fiesta Dar

Tetesi: Snoop Doggy ndie msanii kutoka nje atakayetumbuiza kwenye Fiesta Dar

Nilinunua album ya Snoopy doggy stylenikiwa darasa la sita...namkubali sana huyu jamaa wacha tujikumbushe enzi zetu
Unaikumbuka 'Murder was the case' nilikuwa napenda sana anavyo flo huyu jamaa.
 
Hii imevujaa baada ya Adam Mchomvu kulopoka kabla ya tangazo rasmi kutoka afu wakajifanya kupotezea ila ndio ivo kesharopoka.
View attachment 420875 View attachment 420872
View attachment 420872
Mkuu kuna cku niliandika hapa kwamba kuna siku Clouds inatakiwa watambue hili kuwa kuna wasanii bongo hii wanaweza kuwatengeneza kwa mwaka mzima haraf wakamtumia siku ya fiesta.
Mfano hiyo million 400 ambayo watampa msanii wa nje wakiigawa kwa Kiba 200 na Diamond 200 harafu mr.blue angetengenezwa kama wao akapewa 50 inatosha kuzikonga nyoyo za wana DSM .

NB:nimeingia show nying za fiesta mara nying hao wasanii watatu niliowataja hapo ndo wanasepaga na kijiji dar hii haina ubish
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
 
Itabidi tu wa-legalize siku hiyo maana ana permit ya kusafiri na kutembea na medical marijuana.

Pia kwa ushauri wangu, wazalishaji wa herb waonane naye wampe atest ingredients. Jamaa ana experience nzuri na anaweza kuwasaidia ku-grade herbs.

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
1476951610147.jpg
drake huyo hapo yupo njiani anakuja bongo nw
 
Za uhakika kabisa anakuja Jiga, Kanye West, Niki Minaji na Drake watasindikizwa na Rihanna pia wa Arusha lkn.
 
Nilivyoona hii mada faster nimeomba ruhusa kwa wife na sababu nilizompa, nikuwa naenda kumuona mla mmea mwenzangu.

Kanikubalia bila hiyana, naomba clouds watuwekee sehemu mahususi kwa ajiri ya kula mmea mtakatifu uliyeletwa Mungu ili kufanya maisha yawe mepesi na kuenjoy burudani nzito kutoka kwa nguli huyo wa music.
 
Aje Wizzy Khalfa na lile li demu lake Amber Rozy!
 
Back
Top Bottom