Tetesi: Snoop Doggy ndie msanii kutoka nje atakayetumbuiza kwenye Fiesta Dar

Tetesi: Snoop Doggy ndie msanii kutoka nje atakayetumbuiza kwenye Fiesta Dar

Kweli kuna tofauti kubwa kati ya washabiki na wapenzi wa Muziki;hata hao Wamarekani wenyewe wakisoma comment za hii Thread kuhusu Snoopy watashangaa
 
Huyo mwathirika.hadi akapewa.kibali cha.kula majani ndo wanamleta. Hii nchi imekuwaje?
 
Huyo si alisilimu akaamua kumrudia Muumba wake baada ya ukafiri wa miaka mingi .Pia Snoopy alishapita zamani zake kama alivo nature hawezi kwenda na vijana wa sasa,wamchukue Drake,Neyo,Chriss Brown.
 
Huyo si alisilimu akaamua kumrudia Muumba wake baada ya ukafiri wa miaka mingi .Pia Snoopy alishapita zamani zake kama alivo nature hawezi kwenda na vijana wa sasa,wamchukue Drake,Neyo,Chriss Brown.
Labda kama wanataka kutukumbusha enzi zetu za miaka ya 90 sawa lkn asimilia 90 watakaingia fiesta ni dotcom hivo hawatakonga nyoyo za wasanii au km hela haitoshi wawalete wasanii wa bongo mondi na kiba ili Pesa ibaki ndani.
 
Kweli kuna tofauti kubwa kati ya washabiki na wapenzi wa Muziki;hata hao Wamarekani wenyewe wakisoma comment za hii Thread kuhusu Snoopy watashangaa
Snoopy tunafaham ni Legend, ila mda wake umekwisha. Hata Marekani hana soko kama hao wakina Drake, muziki ni kama mpira wakati wako ukiisha hata thamani yako inashuka, wakati Pogba ananunuliwa kwa Paundi Mil 90, Ronaldinho hata bure timu kubwa hazimtaki
 
Wajikwakwamue waje na Justin beibar ndo watafunga kaz
 
Snoopy tunafaham ni Legend, ila mda wake umekwisha. Hata Marekani hana soko kama hao wakina Drake, muziki ni kama mpira wakati wako ukiisha hata thamani yako inashuka, wakati Pogba ananunuliwa kwa Paundi Mil 90, Ronaldinho hata bure timu kubwa hazimtaki
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] aiseeee nmecheka sana hapo kwa mreno n sure ataozea Spain huyo
 
Mtu mzma Snoop Dogg mbona ashapotea kwenye game kitambo tu na saiv kabaki kama legend tu,, kama kwel wapo serious watulete mtu kama drake au Kendrick hapo ndo ntawaelewa
Kuwaleta sio ishu, na hii hali ya maisha watu watashindwa viingilio.
 
Unajua Chris brizzy alilipwa kiasi gani kenya??kila dakika moja alikuwa analipwa 1 m Kenya shillings,so alifanya 90 Yani saa moja na nusu,aliondoka na 90m kenya shillings,hesabu za haraka hizo ni sawa na 900000$,sasa unaona clouds wana ubavu wa kumlipa hiyo hela Chris???wataishia kuchukua wazee tu Kama kina snoop
wanaolipa wasanii sio clouds, wanaotoa hela ya kuwanalipa wasanii ni tigo na wadhamini wengine
 
Back
Top Bottom