Tetesi: Snoop Doggy ndie msanii kutoka nje atakayetumbuiza kwenye Fiesta Dar

Tetesi: Snoop Doggy ndie msanii kutoka nje atakayetumbuiza kwenye Fiesta Dar

Mleta mada sio kwamba baba John karopoka, hiyo imetokea maksudikali kwani ndio za mawingu hizo
 
Kwanini wasingemleta hata WIZ KID'' Are u gonna dancooo if a show u ma manooo'' watoto wangechizika kuliko kumleta babu huyo anakuja tu kupanda mlima kilimanjaro
 
Mtu mzma Snoop Dogg mbona ashapotea kwenye game kitambo tu na saiv kabaki kama legend tu,, kama kwel wapo serious watulete mtu kama drake au Kendrick hapo ndo ntawaelewa
2.5 Bil kumchukua drake!
 
Mtu mzma Snoop Dogg mbona ashapotea kwenye game kitambo tu na saiv kabaki kama legend tu,, kama kwel wapo serious watulete mtu kama drake au Kendrick hapo ndo ntawaelewa
2.5 Bil kumchukua drake!
 
Walishindwa nini kumteka Chriss Brown alivyokuwa hapo Mombasa juzi, akatumbuiza fasta na kusepa...! mpaka watuletee mzee

Unajua Chris brizzy alilipwa kiasi gani kenya??kila dakika moja alikuwa analipwa 1 m Kenya shillings,so alifanya 90 Yani saa moja na nusu,aliondoka na 90m kenya shillings,hesabu za haraka hizo ni sawa na 900000$,sasa unaona clouds wana ubavu wa kumlipa hiyo hela Chris???wataishia kuchukua wazee tu Kama kina snoop
 
Maalimando wa bongonyoo wameshajiandaa na stock ya kutosha watakuja na lori la mizigo.
 
Snoop ni legendary na wasanii wengi wa ulaya wanaangalia anachofanya so let him open gate for other parformer. Hope weng watadondoshwa kama legend atavyoletwa soon.. Big up mawingu mmetisha.. Its time for hiphop
 
Nasikitika huo uwanja hautakua na waitikiaji wa kutosha teh
Nina hakika amsha amsha itakuwa kubwa tu,mafans wake wapo wengi tu wanaojua music..na inaweza kuwa Kali kuliko hata hao mnaowafikiria nyie
 
Back
Top Bottom