Snowfall: Teddy alikuwa serious alipokubali kumrudishia Franklin nusu ya pesa aliyomuibia?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760

Teddy alimuibia Franklin pesa zote kwenye account Dola milioni 73 bila kuacha senti

Franklin aliweza kumkamata na kumtesa mpaka akakubali kumlipa nusu ya pesa aliyoiba dola milioni 37

bad luck, Cissy mama wa Franklin alimuua Teddy.

Yote kwa yote, Teddy alikuwa serious kumrudishia Franlin Pesa ?
 
Google utapata majibu yote..

Kwa nilivyoiona Teddy alikua serious anarudisha pesa, drug dealers wao pesa kwanza dadeki hawacheki na kima,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…