Snura aachana na muziki wa kidunia, aomba nyimbo zake zisipigwe tena, na picha zake zisipostiwe akifariki dunia

Snura wa leo ni matokeo ya matukio aliyowahi kuyafanya, hawezi zuia picha na video zake za hovyo zisisambae tena.

Wasanii na watu wote tujifunze jambo hapo.
 
Picha za uchi siyo mali yake, tutaendela kuzitumia kwa namna yetu. Uchi tu ndiyo mali yake apange atautumiaje
 
Oyaaa kuna nice guy kutoka kanisaniii atatafutwa mda si mrefu aweke ndani hiy mali 🏃 🏃 🏃 🏃
 
Mwenzake mzee yusuph alisemaga ivoivo ghafla baada ya maokoto kuisha akaamua kurudi tena
 
Wewe umetubu za kwako?
 
Amechagua njia sahihi na nzuri Sana .

Unfortunately watu wakiingia floor ya NNE ndo hupenda kumkumbuka MUNGU na kupenda kuishi maisha ya KIROHO .

Amefanya vizuri Sana vijana wenzangu ambao tupo 20s tujitahidi kuishi spiritual LIFE tutapata mambo mengi chanya

Nakuombea Mungu aendelee kukufanikisha ili uishi katika yeye

Mimi namjua Snura but I know nothing about her music
 
Imebidi niende nikajikumbushe kidogo chura anaruka ruka. Daah si haba mtoto wa kike analozigo na anajua kulichezea chezea.

Tutamiss sana hivi vitu aseeh
 
Unapambana kutetea naona unajibu Kila posti hao uliowataja pia wanatamani kurudi lakini hawana nafasi tena katika muziki wa leo.
Sikiliza shehe siku moja huu uzi tutaufufua kama hadidu za rejea inshallah
Nani aliyekwambia wanatamani?!
 
Kumbe mpaka picha za uchi anazo mtandaoni?

Acha nimsachi sasa walau nipitie pitie
 
Kuna kitu kinaitwa "haki ya kusahaulika" (right to be forgotten). Anaweza kuwaandikia Google wafute kila kitu kumhusu. Hizo picha za uchi zitabaki kwa waliodownlod tu ila zitatoweka mitandaoni.
Akipata huu ushauri utamfaa sana.

Sasa kama hata video zake youtube hajafuta kutakua na tatizo hapo..
 
Mzee Yusuph akiangalia hii atakuwa anacheka tu.
Wapo wengi tu waliotoka huko sio kufeli kwa mzee yusuf ndio iwe fimbo ya kuwachapa wengine, yupo SumaLee, yupo Saigon, wale akina Imam Abas sijui wengi sana ambao wameachana kabisa na wamefanikiwa. Hata huyo mzee yusuf kwakuwa bado yupo hai bado anayonafasi wala sisi binadamu hatuwezi mkatia tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…