Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 7,828
- 9,546
Saigon bado anaimba Hiphop, juzi tu kashirikishwa nyimbo na dogo mmoja. Ni vile akianza rap anashusha lugha ya kwa Mtume ila ana rap bado
Hafanyi yeye kama yeye officially.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saigon bado anaimba Hiphop, juzi tu kashirikishwa nyimbo na dogo mmoja. Ni vile akianza rap anashusha lugha ya kwa Mtume ila ana rap bado
Picha za uchi siyo mali yake, tutaendela kuzitumia kwa namna yetu. Uchi tu ndiyo mali yake apange atautumiajeView attachment 3055981
Snura atangaza kuacha muziki rasmi, aomba nyimbo zake zisipigwe tena.
Snura Mushi ametangaza kuacha rasmi muziki na shughuli za kisanaa na kujikita zaidi kwenye dini.
Amezitaka media na watu binafsi kuacha mara moja kufanya hivyo kwa kuwa amebadilisha aina ya maisha yake kabisa.
Pia soma
Sasa tofauti ni nini, mfano Muislam kula nguruwe aliyepikwa mgahawani na kumpika nguruwe ukala nyumbani. Yote ni haramu tu.Hafanyi yeye kama yeye officially.
Mwenzake mzee yusuph alisemaga ivoivo ghafla baada ya maokoto kuisha akaamua kurudi tenaView attachment 3055981
Snura atangaza kuacha muziki rasmi, aomba nyimbo zake zisipigwe tena.
Snura Mushi ametangaza kuacha rasmi muziki na shughuli za kisanaa na kujikita zaidi kwenye dini.
Amezitaka media na watu binafsi kuacha mara moja kufanya hivyo kwa kuwa amebadilisha aina ya maisha yake kabisa.
Pia soma
Wewe umetubu za kwako?Kama ametubia toba ya kweli ni ni jambo zuri , tunamuombea kheri na Allaah aampe thabati maana wengi wanakufa bila kutubia na hiyo ndio mbaya .
Haya maisha ya Dunia ni starehe fupi sana , kila kitu linapotea ghafla kama upuuzi tu . Si vizuri watu kuanza kumuombea mabaya na kuweka dhana ovu kwa binadamu mwenzako hiyo ni roho mbaya na husuda hakuna mtu msafi mandari mtu kaamua kubadilika heshimu maamuzi yake.
Anajitekenya mwenyewe halafu anachekaKwani alikuwa bado anafanya muziki? Nilijua alishaacha siku nyingi.
Ova
Imebidi niende nikajikumbushe kidogo chura anaruka ruka. Daah si haba mtoto wa kike analozigo na anajua kulichezea chezea.Snura atangaza kuacha muziki rasmi, aomba nyimbo zake zisipigwe tena
Snura Mushi ametangaza kuacha rasmi muziki na shughuli za kisanaa na kujikita zaidi kwenye dini.
Amezitaka media na watu binafsi kuacha mara moja kufanya hivyo kwa kuwa amebadilisha aina ya maisha yake kabisa.
Snura: Naomba nikifa msipost picha zangu za ‘uchi’ mtandaoni
Snura Mushi amewataka wasanii, Watanzania pamoja na wadau wasanaa akifa hata kesho anaomba picha zake zilizopo mitandaoni kwa kuwa kufanya hivyo kutaiumiza zaidi familia.
Amedai picha zake nyingi zilizo mtandaoni ni mbaya na haziendani na maisha yake.
Na wapo walipiga Mkwara huo na wakiacha dunia moja kwa moja ..Suma leeMwambie yeye si wa kwanza, hata mzee Yusuph alipiga mkwala kama huo alafu akarejea tena kwenye mataarabu mchana kweupe
Nani aliyekwambia wanatamani?!Unapambana kutetea naona unajibu Kila posti hao uliowataja pia wanatamani kurudi lakini hawana nafasi tena katika muziki wa leo.
Sikiliza shehe siku moja huu uzi tutaufufua kama hadidu za rejea inshallah
Akipata huu ushauri utamfaa sana.Kuna kitu kinaitwa "haki ya kusahaulika" (right to be forgotten). Anaweza kuwaandikia Google wafute kila kitu kumhusu. Hizo picha za uchi zitabaki kwa waliodownlod tu ila zitatoweka mitandaoni.
Ameolewa na ana watt 4Kachakazwaaaa. .....kachoka. Soko limeshuka.
Hongera kwake kwa kuamua maisha mapya. Tunamtakia kila la kheri.
Mwee kwani kuolewa hakuchakazwi?Ameolewa na ana watt 4
Kachakazwa wapi tena jmn!
Malizia Malizia mwishoni zitafutwa.Kumbe mpaka picha za uchi anazo mtandaoni?
Acha nimsachi sasa walau nipitie pitie
Wapo wengi tu waliotoka huko sio kufeli kwa mzee yusuf ndio iwe fimbo ya kuwachapa wengine, yupo SumaLee, yupo Saigon, wale akina Imam Abas sijui wengi sana ambao wameachana kabisa na wamefanikiwa. Hata huyo mzee yusuf kwakuwa bado yupo hai bado anayonafasi wala sisi binadamu hatuwezi mkatia tamaaMzee Yusuph akiangalia hii atakuwa anacheka tu.