Snura afanya party kufuru kufurahia kurejea kwa chura

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Mwanadada anayefanya poa kwenye mziki na maigizo Snura Mushi AKA Snu sexy au ukipenda muite malkia wa uswazi hatimaye afanya bonge la party kufurahia kurejea kwa chura kwa mara nyingine

Snura pamoja na wapambe wake wamependekeza kuwa kila ifikapo 5 October kuwe na maadhimisho ya kukumbuka kurejea kwa chura kwa mara nyingine

Hata hivyo wazo hili liliibua hisia mbili tofauti, wapo waliompongeza kwa wazo hilo pia wapo waliomponda na kumtamkia maneno yenye udharirishaji wa hali ya juu

Ila mimi binafsi nimemshangaa sana huyu binti hakukuwa na sababu yoyote ya maana ya kuandaa sherehe , maana kawimbo kenyewe kashachuja na hakana mvuto tena zaidi ya makelele tu au mnasemaje waungwana?

Karibuni
 
Hawa wasanii wa bongo mbona huwa wana fanya party zszo na sababu!!!
Mwisho utaskia oooh kwenye usanii skupata kituu. Wakat wana tumia hata kidogo wanacho pata vbaya
*hata hivo chura sidhani kama inaweza kuleta mshindo kama uke wakat inatoka

Aaah churaaaaaah!(in mac reagan's voice)
 
umeona eeeh alafu asilimia kubwa ni hawa dada zetu kwa party hawa hawajambo , labda kidogo hii ina uafadhari

Nchi ngumu sana hii hivi huu wimbo achilia video kubadilishwa una maslahi gani kwa maadili ya nchi yetu? au umesheheni maneno ya busara na mafunzo ambayo mimi sielewi tafsiri zake?
 
Nchi ngumu sana hii hivi huu wimbo achilia video kubadilishwa una maslahi gani kwa maadili ya nchi yetu? au umesheheni maneno ya busara na mafunzo ambayo mimi sielewi tafsiri zake?
hamna chochote humo mkuu makelele tu hauna maana yoyote kama singeli tu
 
Nyumba za kupanga bana.., zina mambo
 
Nchi ngumu sana hii hivi huu wimbo achilia video kubadilishwa una maslahi gani kwa maadili ya nchi yetu? au umesheheni maneno ya busara na mafunzo ambayo mimi sielewi tafsiri zake?
Mkuu hii post yako na user name yakkoo

Dah vimeendana sanA

Thumb up mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…