brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Mwanadada anayefanya poa kwenye mziki na maigizo Snura Mushi AKA Snu sexy au ukipenda muite malkia wa uswazi hatimaye afanya bonge la party kufurahia kurejea kwa chura kwa mara nyingine
Snura pamoja na wapambe wake wamependekeza kuwa kila ifikapo 5 October kuwe na maadhimisho ya kukumbuka kurejea kwa chura kwa mara nyingine
Hata hivyo wazo hili liliibua hisia mbili tofauti, wapo waliompongeza kwa wazo hilo pia wapo waliomponda na kumtamkia maneno yenye udharirishaji wa hali ya juu
Ila mimi binafsi nimemshangaa sana huyu binti hakukuwa na sababu yoyote ya maana ya kuandaa sherehe , maana kawimbo kenyewe kashachuja na hakana mvuto tena zaidi ya makelele tu au mnasemaje waungwana?
Karibuni