Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Tatizo sio kukatika tatizo style ya kukatika aliyokatika ni ya kichumbani zaidi
Kuna kukatika na kurusha mata.ko
huyu snura hakatiki anarusha tu mata.ko bora ilivofungiwa.
hayo makalio wayarushe rushe ndani kwao
hehehe....what is the difference bibie Evelyn Salt
Bila shaka ushaona videos za ray c ye anakatika,
ila huyu majanga, shilole, mziki wa offside trick bata, na wa shaa sugua gaga wanarusha makalio
wanacheza styles za chumbani yani kama umekaa na mtu unaona Ainu.
ninyi magwiji hamwafundishi kukatika unategemea nini...wanaanza kuchuliwa kwa style hizo hizo za kurusha ma.t.ako na wanadhani ndiyo kukatika
Ni video ya kawaida kabisa na nimeicheza mwenyewe na wacheza shoo wangu.Nilifanya hivyo baada ya video yangu ya Majanga kulalamikiwa kuwa
sikucheza.
Imeniuma sana video ya "Nimevurugwa" kufungiwa na BASATA kuonyeshwa kwenye TV bongo wakati kama kukatika ni tamaduni yetu watanzania kuna video kibao za nje za ovyo kabisa wanavaa nusu uchi ila azifungiwi"
Gwiji wa kukatika ni luiza mbutu bana sio mimi...
Kuna kukatika na kurusha mata.ko
huyu snura hakatiki anarusha tu mata.ko bora ilivofungiwa.
hayo makalio wayarushe rushe ndani kwao
Jaman mwenye hzo video mbili majanga na nimevurugwa anitumie whatsapp kwa hii namba 0788114943 cjawahi kuziona
Video yenyewe inaitwa nimevurugwa unategemea nini.
Wakat wanashoot hiyo video kuna kijana alikuwa pemben alinaswa na kamera akijichua
Mpaka una whatsapp simu yako means ni smart, so ingi youtube search for those videos utazipata.
Mpaka una whatsapp simu yako means ni smart, so ingi youtube search for those videos utazipata.