Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Ni video ya kawaida kabisa na nimeicheza mwenyewe na wacheza shoo wangu.Nilifanya hivyo baada ya video yangu ya Majanga kulalamikiwa kuwa
sikucheza.
Imeniuma sana video ya "Nimevurugwa" kufungiwa na BASATA kuonyeshwa kwenye TV bongo wakati kama kukatika ni tamaduni yetu watanzania kuna video kibao za nje za ovyo kabisa wanavaa nusu uchi ila azifungiwi"