Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,420 Reaction score 18,298 Oct 12, 2013 #1 hehehehe sijawahi kuona msanii kaanguka U.S.A kama show za B.E.T au sijui majukwaa yao yapoje. sijui snura alilewa kiasi kwamba akashindwa kujicontrol lol! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
hehehehe sijawahi kuona msanii kaanguka U.S.A kama show za B.E.T au sijui majukwaa yao yapoje. sijui snura alilewa kiasi kwamba akashindwa kujicontrol lol!
Crystal clear JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 809 Reaction score 338 Oct 12, 2013 #2 na bado watavunja na viuno kwa kutafuta sifa.
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,420 Reaction score 18,298 Oct 12, 2013 Thread starter #3 Crystal clear said: na bado watavunja na viuno kwa kutafuta sifa. Click to expand... hapo ndo inaonekana hajui kitu,unajua unaenda kwenye show halafu unaanguka jukwaani lol
Crystal clear said: na bado watavunja na viuno kwa kutafuta sifa. Click to expand... hapo ndo inaonekana hajui kitu,unajua unaenda kwenye show halafu unaanguka jukwaani lol
Crystal clear JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 809 Reaction score 338 Oct 12, 2013 #4 yaani inakuwa aibu ukiamka nguvu za kuendelea zinaisha. Excellent said: hapo ndo inaonekana hajui kitu,unajua unaenda kwenye show halafu unaanguka jukwaani lol Click to expand...
yaani inakuwa aibu ukiamka nguvu za kuendelea zinaisha. Excellent said: hapo ndo inaonekana hajui kitu,unajua unaenda kwenye show halafu unaanguka jukwaani lol Click to expand...
warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,218 Reaction score 18,440 Oct 12, 2013 #5 Crystal clear said: na bado watavunja na viuno kwa kutafuta sifa. Click to expand... Aaaah aaah dah,naona mzuka ulipamba mot,mwachen jaman alikuw anajaribu kutupa mashabik wake kitu roho inapenda Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Crystal clear said: na bado watavunja na viuno kwa kutafuta sifa. Click to expand... Aaaah aaah dah,naona mzuka ulipamba mot,mwachen jaman alikuw anajaribu kutupa mashabik wake kitu roho inapenda Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,420 Reaction score 18,298 Oct 12, 2013 Thread starter #6 warumi said: Aaaah aaah dah,naona mzuka ulipamba mot,mwachen jaman alikuw anajaribu kutupa mashabik wake kitu roho inapenda Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums Click to expand... sasa huoni kuanguka ni ufinyu wa ubunifu?
warumi said: Aaaah aaah dah,naona mzuka ulipamba mot,mwachen jaman alikuw anajaribu kutupa mashabik wake kitu roho inapenda Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums Click to expand... sasa huoni kuanguka ni ufinyu wa ubunifu?