Snura akata mauno na kuanguka kutoka jukwaani

Snura akata mauno na kuanguka kutoka jukwaani

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
hehehehe sijawahi kuona msanii kaanguka U.S.A kama show za B.E.T
au sijui majukwaa yao yapoje.
sijui snura alilewa kiasi kwamba akashindwa kujicontrol lol!

Last edited by a moderator:
na bado watavunja na viuno kwa kutafuta sifa.

Aaaah aaah dah,naona mzuka ulipamba mot,mwachen jaman alikuw anajaribu kutupa mashabik wake kitu roho inapenda

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Aaaah aaah dah,naona mzuka ulipamba mot,mwachen jaman alikuw anajaribu kutupa mashabik wake kitu roho inapenda

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
sasa huoni kuanguka ni ufinyu wa ubunifu?
 
Back
Top Bottom