Snura Majanga anaswa kwa Sangoma ( Mganga wa Jadi ) akiwa amebebeshwa vibuyu!

Itakuwa mganga kavujisha siri baada ya snura kutolipa dau walilokubaliana huku washabiki nao hawajitokezi.
 
kama alienda huko na kuamua kupigwa picha kama inavyoonekana wala siyo news.
news ingekuwa kama angefanya kwa kujificha.

one's life is about one's choices bana!
 
Mbona kina Beyoncé hawarogi? Imani nyingine ni za kiShenzy kabisa
Kabla hujahukumu nadhani ungevuta subira kidogo. Usisahau Snura ni bongo movie star. Anaweza kuwa ana shoot movie hapo. Na mjinga gani anaweza kwenda kwa mgabga hlf akapiga picha za pozi kiasi hicho?
 
Usiri siku zote ndio sifa ya m/kienyeji.sasa huyo alikwenda na mpigapicha wake au sangoma anakamera? Wasanii wa kibongo sana sana kazi zao nitasikiliza kwenye daladala na movi kwenye mabasi ya mikoan.Bora hata kununua condom
Mkuu umeua, duh!
 
Hakuna mganga walann Inamaana mmesahau Snura ni bongo movie

Kesha tangaza movie ya vumbi la mguu itatoka soon iyo ata yaeza kuwa ni sehemu ya hiyo movie

Hiyo promo tyuuu mtatokwa mapovu ya bureeee!!!
 
Mbona hiyo ni ya kipindi cha Jumba la dhahabu?
 
Hizi picha zimepigwa makusudi picha mtu anazopiga kwa kuiba iba zinaonekana hii ni movie au video ya wimbo
 
Hapo hata mganga akitaka K anapewa bila pingamizi. Wasanii badilikeni, kina beyonce wanafanyaga hivyooo...?
 
Mbona kina Beyoncé hawarogi? Imani nyingine ni za kiShenzy kabisa
acha utani mkuu, mbona nasikia wako kwa ile dini ya frimanga. alafu huyu beyonce si ana kanisa na yeye ndo mkubwa (lazima ni mwanga huyu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…