Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama alienda huko na kuamua kupigwa picha kama inavyoonekana wala siyo news.Msanii mkongwe nchini maarufu kwa jina la Snura Mushi au Snura Majanga amenaswa live akiwa kwa sangoma ( mganga wa jadi ) akisafisha nyota yake kwa lengo la kujiongezea mashabiki
Tazama ushuhuda wa picha hapo chini .
Kina Beyonce wanasali hata kabla ya kupiga show.Mbona kina Beyoncé hawarogi? Imani nyingine ni za kiShenzy kabisa
Kabla hujahukumu nadhani ungevuta subira kidogo. Usisahau Snura ni bongo movie star. Anaweza kuwa ana shoot movie hapo. Na mjinga gani anaweza kwenda kwa mgabga hlf akapiga picha za pozi kiasi hicho?Mbona kina Beyoncé hawarogi? Imani nyingine ni za kiShenzy kabisa
unajuwaj mkuu?Mbona kina Beyoncé hawarogi? Imani nyingine ni za kiShenzy kabisa
Au kikiHapo utasikia anakanushaa kuwa hiyo ni video yake ya nyimbo mpyaa!!!
Mkuu umeua, duh!Usiri siku zote ndio sifa ya m/kienyeji.sasa huyo alikwenda na mpigapicha wake au sangoma anakamera? Wasanii wa kibongo sana sana kazi zao nitasikiliza kwenye daladala na movi kwenye mabasi ya mikoan.Bora hata kununua condom
Mason wale hawana shda ya kuroga wao utawafuata tuu utake usitakeKina Beyonce wanasali hata kabla ya kupiga show.
Unaishi nao?Mbona kina Beyoncé hawarogi? Imani nyingine ni za kiShenzy kabisa
acha utani mkuu, mbona nasikia wako kwa ile dini ya frimanga. alafu huyu beyonce si ana kanisa na yeye ndo mkubwa (lazima ni mwanga huyu)Mbona kina Beyoncé hawarogi? Imani nyingine ni za kiShenzy kabisa