brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Msanii wa maigizo na mziki Snura Mushi amedai kuwa katika maisha yake kamwe hawezi kutoka na mwanaume aliye mzidi umri hata siku moja kama wasanii wenzake wa kike wanavyofanya
Snura ameelezea pia tukio la kukiss na rayvan katika video ya natafuta kiki akisema kuwa ile ilikuwa ni kazi na script ndio iliyomtaka afanye vile
Snura alienda mbali zaidi kwa kusema kuwa hata kama angeambiwa amkiss mtoto wake wa kiume angeweza kufanya hivyo kwa kuwa muda huo anakuwa yupo kazini
Snura pia ametolea ufafanuzi kuhusu shutuma zinazo mkabili kuwa Rayvann ndiye mwanaume anayemnyima usingizi kuwa shutuma au madai hayo ni batili na anaye sambaza taarifa hivyo kamwe hamuumizi kichwa kwa kuwa rayvan ni mdogo mno kwake kwa hiyo suala la kumvulia chupi halitawezekana hata siku moja