Snura:siwezi kuwavulia chupi wadogo zangu

Snura:siwezi kuwavulia chupi wadogo zangu

1473697281328.jpg
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Na waraka aliandikaga kua kuna msanii anampenda sana wa bongo flavour mdogo ila anampenda sana na hawez jizuia alisema mwanzo alikua anashangaa watu wanavyotembea na watu waliowazidi umri....mapenzi hayana wenyewe snura usitukane mamba kabla hujavuka mto [emoji108][emoji108]aibu mtu mzima sasa hv
Yeah nakumbuka sana
Sasa yamemshuka tunangoja tamko sasa
 
Yeye si wa kufanya madudu Yale na Benpol namuwazia dada wa watu aliyezaa na Ben Mara baada ya kuenea kwa video clips na picha bado sijui anajiweka takika halo gani kwa kweli
 
Ila nilisahau kupita kwenye jukwaa la utambulisho.
Ndo nmeona nipite leo nijitambulishe
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Back
Top Bottom