Snura:siwezi kuwavulia chupi wadogo zangu

Yeah nakumbuka sana
Sasa yamemshuka tunangoja tamko sasa
 
Yeye si wa kufanya madudu Yale na Benpol namuwazia dada wa watu aliyezaa na Ben Mara baada ya kuenea kwa video clips na picha bado sijui anajiweka takika halo gani kwa kweli
 
anatafuta kiki huyo snura. ngasa alikuwa anajua umri wake?
 
Ila nilisahau kupita kwenye jukwaa la utambulisho.
Ndo nmeona nipite leo nijitambulishe
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…