thegreen
JF-Expert Member
- May 22, 2013
- 369
- 171
Shilole hatari sa hivi ako centrate kwenye miguu sasa
eti ako-centrate kwenye miguu. heaven acha uchokozi. nimeipenda hiii, ha ha ha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shilole hatari sa hivi ako centrate kwenye miguu sasa
Mmmh shilole kama amoxylin....
na weusi ungekuwa si dili mkaa usingenunuliwa.Hahahaha!!! Nimecheka sana. Asante kwa kunifanya nicheke.
Hivi haya maneno mnatoa wapi?
hapo wamekutana mbuzi wa bwana heri na shamba la bwana heri.
hawa wadada wananikumbusha kipindi cha kina zay b na mwenzie anaitwa nani cjui.......!?