Shilole hatari sa hivi ako centrate kwenye miguu sasa
Mmmh shilole kama amoxylin....
na weusi ungekuwa si dili mkaa usingenunuliwa.Hahahaha!!! Nimecheka sana. Asante kwa kunifanya nicheke.
Hivi haya maneno mnatoa wapi?
hapo wamekutana mbuzi wa bwana heri na shamba la bwana heri.
hawa wadada wananikumbusha kipindi cha kina zay b na mwenzie anaitwa nani cjui.......!?