Snura wa majanga anatafuta mwanaume wa kumpa mimba

Snura wa majanga anatafuta mwanaume wa kumpa mimba

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana


Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo

Yule dada snura mush wa majanga anatafuta mwanaume wa kumupa mimba azae

Sunura kaweka waz swala hilo baada ya dar nzima kukosa mwanaume wa kumpa mimba

kama vip masela hata wewe unaweza kujitosa, kama unatumia mtandao wa inster mfate pm unaweza kupata zal la kumdhalisha


Yaan dar nzima kakosa mwanaume, iv nyie wanaume wa dar mnajielewa kweli mnashindwa had kuwapa mimba wanawake aisee
Capture_3.jpeg

snura.jpeg



LONDON BABY
 
Kwani si ana mtoto?? Mume wake yuko wapi
Nimeleta huu uz usiku maana nilitaka kufunga hesabu mkuu huu uz wa nane kama sikosei kwa leo

Kwahiyo hapa nimefunga hesabu tukutane keaho tena askar wangu
 
Daah hawa masupastaa noma sana...anasubiri nini kuolewa
Huyo kwanza alikuwa anaishi bar uswahilini kabisa licha ya kuwa na jina kubwa.


Pia kukaa uswahilini sana(Kiwalani) kumepelekea mpaka leo kuwa na maisha yale yale ya kiswazi swazi ,maisha yasiyo kuwa na dira, maisha ya kudanga.


Wewe si unaona hata nyimbo zake nyingi zimekaa kiswazi swazi.
 
Labda ile title ya usupastaa ndio inampa kiburi...halafu zamani si unakumbuka alikuwa muigizaji.?
Ndio najua kuwa wote ni waigizaji ,ila ule urafiki wa damu na Madam Wema Sepetu sijui ulianzia wapi.

Ila nahisi pengine alikuwa anajikomba sana kwa Wema .
 
Back
Top Bottom