Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo
Yule dada snura mush wa majanga anatafuta mwanaume wa kumupa mimba azae
Sunura kaweka waz swala hilo baada ya dar nzima kukosa mwanaume wa kumpa mimba
kama vip masela hata wewe unaweza kujitosa, kama unatumia mtandao wa inster mfate pm unaweza kupata zal la kumdhalisha
Yaan dar nzima kakosa mwanaume, iv nyie wanaume wa dar mnajielewa kweli mnashindwa had kuwapa mimba wanawake aisee
LONDON BABY