Ni DJ wa Maisha Basement kama sikosei.Kwani si ana mtoto?? Mume wake yuko wapi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] sasa mumewe anashindwa kumpa mimba nyingine?Ni DJ wa Maisha Basement kama sikosei.
Nahisi hata Hyperman HK kala tunda lake.
Okay...poaHayo maswali utamuuliza ukiwa naye yeye anataka mwanaume tu bas. Kwahiyo kama vp jitose
Hajaolewa huyo.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] sasa mumewe anashindwa kumpa mimba nyingine?
Sawa NanyupuNimeleta huu uz usiku maana nilitaka kufunga hesabu mkuu huu uz wa nane kama sikosei kwa leo
Kwahiyo hapa nimefunga hesabu tukutane keaho tena askar wangu
Daah hawa masupastaa noma sana...anasubiri nini kuolewaHajaolewa huyo.
Walikuwa tu wachumba.
Ana watoto watatu kama sikosei ila namkumbuka Tariq tu hao wengine nimewasahau.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa Nanyupu
...umerogwa wewe!,Nimeleta huu uz usiku maana nilitaka kufunga hesabu mkuu huu uz wa nane kama sikosei kwa leo
Kwahiyo hapa nimefunga hesabu tukutane keaho tena askar wangu
Huyo kwanza alikuwa anaishi bar uswahilini kabisa licha ya kuwa na jina kubwa.Daah hawa masupastaa noma sana...anasubiri nini kuolewa
Ni kweli aisee mkuuHuyo kwanza alikuwa anaishi bar uswahilini kabisa licha ya kuwa na jina kubwa.
Pia kukaa uswahilini sana(Kiwalani) kumepelekea mpaka leo kuwa na maisha yale yale ya kiswazi swazi ,maisha yasiyo kuwa na dira, maisha ya kudanga.
Wewe si unaona hata nyimbo zake nyingi zimekaa kiswazi swazi.
Huwa nashindwa kupata picha urafiki wake na Wema Sepetu ulikuwa kuwaje maana hawaendani kabisa.Ni kweli aisee mkuu
Labda ile title ya usupastaa ndio inampa kiburi...halafu zamani si unakumbuka alikuwa muigizaji.?Huwa nashindwa kupata picha urafiki wake na Wema Sepetu ulikuwa kuwaje maana hawaendani kabisa.
Ndio najua kuwa wote ni waigizaji ,ila ule urafiki wa damu na Madam Wema Sepetu sijui ulianzia wapi.Labda ile title ya usupastaa ndio inampa kiburi...halafu zamani si unakumbuka alikuwa muigizaji.?