Snura wa majanga anatafuta mwanaume wa kumpa mimba

Labda amekosa wa kumridhisha, ila hajakosa wa kumpa mimba.

Nipe Namba zake nimlete mkoani ajionee maajabu yapatikanayo huku.

Insta, situmii na siipendi kabisa.
 
Nikama ameamua kuwa tusi wanaume aliowahi kuwa nao kwamba hawana uwezo wakumpa mimba,
 
Hapana Snura ishu si the mimba ishu ni wewe mbeba mimba
 
Kama habari hii ni kweli basi Dar litangazwe jiji la kinamama tu (hakuna wanaume)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…