Mwita Buruji
Member
- Aug 14, 2015
- 94
- 78
Aje kwangu, atapata mimba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda mkuu ikawa hivyoNdio najua kuwa wote ni waigizaji ,ila ule urafiki wa damu na Madam Wema Sepetu sijui ulianzia wapi.
Ila nahisi pengine alikuwa anajikomba sana kwa Wema .
Kuolewa co jambo LA mchezo mchezo mkuu!!!!Daah hawa masupastaa noma sana...anasubiri nini kuolewa
Jamvin humu wanaume wengi hutoka mikoan na wanawake ndio wanatoka dar!!!!Wanaume wa dar mnatuangusha...
Hao wanaojiita mastaa hawajatulia.Aoneshe vyeti Vya kupima ngoma km yupo salama alafu mengine yatafuata?
wachache sanaKuolewa co jambo LA mchezo mchezo mkuu!!!!
Angalia masuper star wangap wameolewa??