Snura wa majanga anatafuta mwanaume wa kumpa mimba

Snura wa majanga anatafuta mwanaume wa kumpa mimba

Inamaana hakuna mwanaume jasiri wa kuuza mechi kwa Snura?
 
Huyo kwanza alikuwa anaishi bar uswahilini kabisa licha ya kuwa na jina kubwa.


Pia kukaa uswahilini sana(Kiwalani) kumepelekea mpaka leo kuwa na maisha yale yale ya kiswazi swazi ,maisha yasiyo kuwa na dira, maisha ya kudanga.


Wewe si unaona hata nyimbo zake nyingi zimekaa kiswazi swazi.
dudu kama hilo labda uwe na ya punda kumzalisha , barabara yote imekuwa flyover, majengo lazima yabomolewe
 
Kama habari hii ni kweli basi Dar litangazwe jiji la kinamama tu (hakuna wanaume)


Huyu Snura saizi yenu watu wa hukohuko kwenu, hapa Dar tunamuweka akiba mkija hapa awakaribishe.
 
Back
Top Bottom