Snura

Snura

kubwalamaadui

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
328
Reaction score
51
Ana kisura kizuri sema kinachomharibu ni mkorogo tu.
Wimbo wa majanga pia mzur sana.
 
wimbo mzuri video majanga nampa round moja akihit tena atakuwa mwanamke kweli
 
Huo wimbo kwa video mbona hakati hayo mauno'?
 
Mkorogo apake yeye kulalamika ulalamike wewe...!! mbona majanga.....
 
Wekeni picha tafadhali ili na sisi tumfaham

images


images
 
Back
Top Bottom